Salaam!
Tukio la Oct 29 liliuacha mtaa, kata,ubalozi bila ofisi yeyote. Hakuna kituo Cha polisi, hakuna ofisi ya Diwani feki, ofisi ya mwenyekiti wa mtaa zote zilichomwa na WENYE NCHI.
Sasa Kila ukitokea kutoelewana au ugomvi mtaani au tukio la wizi, kesi hiyo hakuna mahala pa kuisuluhishia...