Salaam!
Tukio la Oct 29 liliuacha mtaa, kata,ubalozi bila ofisi yeyote. Hakuna kituo Cha polisi, hakuna ofisi ya Diwani feki, ofisi ya mwenyekiti wa mtaa zote zilichomwa na WENYE NCHI.
Sasa Kila ukitokea kutoelewana au ugomvi mtaani au tukio la wizi, kesi hiyo hakuna mahala pa kuisuluhishia.
Ukijaribu kwenda kwa mkt wa mtaa nyumbani kwake hafungui mlango,aogopa WENYE NCHI,polisi ndio kabisa baada ya kuchomewa kituo, nao wamehamia kambini Centro kuu, diwani fake pia hana ofisi na hapatikani.
Tukienda centro kuu na kutaja kata ubalozi tulikotokea,tunajibiwa kuwa ninyi ndio mliochoma kituo Cha polisi?
Nauliza tufanye Nini, au tusubiri uchaguzi halali baada ya ule batili wa Oct 29 kuyeyuka?
Kuna mwingine aniuliza hapa kuwa pesa za kuahirisha tukio la D9 zilitengwa kw a ajili hiyo, majibu sina maana hata viongozi wa juu nao wamekimbia ofisi zao na kurudi kufanyia kazi batili nyumbani kwao .
Kutapambazuka tu,
Happy birthday !