Weekend ya jana, wakati nazagaa zagaa mtaani, tulipita sehemu mimi na jamaa yangu kunywa juisi, meza ya pembeni alikuwa amekaa mmama wa kizungu na binti yake. Ilipita dakika chache wakaondoka.
Wakati nasisi tunaondoka chini ya ile meza niliona kipochi kidogo kama cha kuwekea simu zile ndogo...
Hello wakuu.
Nina mpango wa kumvisha pete mtarajiwa wangu. Swali langu ni je, lazima kualika watu au naweza kumuita ghetto tu nikamvalisha na mchezo ukaisha?
Wengi wetu tunajua na tunaona pete za ndoa zikivaliwa na wanandoa katika kidole cha pili kutoka mwisho, mkono wa kushoto.
Naomba nisaidiwe kujua, Je, ni kwa nini pete hiyo ya ndoa inavaliwa kwenye kidole hicho cha mkono wa kushoto na si kidole kingine kwenye mkono huohuo au mkono wa kulia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.