peter salasya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Mbunge Peter Salasya apigwa na kutimuliwa uwanjani na mashabiki wakati wa mechi ya Kenya dhidi ya Gabon

    Mbunge wa Mumias Mashariki, Peter Salasya, alipigwa na kutimuliwa kutoka Uwanja wa Nyayo wakati wa mechi kati ya Kenya na Gabon baada ya kuzuka mzozo na mashabiki. Mashabiki hao walidai kuwa Salasya alimkosea heshima kiongozi wa chama cha ODM, Raila Odinga, jambo lililosababisha mvutano mkubwa...
Back
Top Bottom