Mbunge wa Mumias Mashariki, Peter Salasya, alipigwa na kutimuliwa kutoka Uwanja wa Nyayo wakati wa mechi kati ya Kenya na Gabon baada ya kuzuka mzozo na mashabiki.
Mashabiki hao walidai kuwa Salasya alimkosea heshima kiongozi wa chama cha ODM, Raila Odinga, jambo lililosababisha mvutano mkubwa...