phd

  1. Setfree

    Masters and PhD holders, mpoo? Karibuni tujadili mada hii

    The Responsibility of Open Discourse The tagline of our Jamiiforums declares, "Where We Dare to Talk Openly." Yet, does unfettered expression justify indiscriminate speech? Intellectual freedom, when devoid of restraint and wisdom, risks devolving into chaos, undermining the integrity of...
  2. Pharmacy

    NANI TUWEKEANE MAKUBALIANO YA KI-BIASHARA?

    Wakuu poleni na mahangaiko ya kusaka heshima(💰) Wakati naendelea kuwaza na kuwazua jinsi ya kujiwekea Heshima yaani kuwa na pesa,nikapata wazo la kilimo lkn hapo hapo nikakutana na changamoto ya soko la uhakika,,,Basi nikapata wazo la kuwahusisha nyie wadau wapenda maendeleo, J ili kutatua...
  3. F

    Study in Romania: Romanian Government Scholarships for Non-EU Citizens 2025 (fully-funded & available for undergraduate, master’s, and PhD)

    Usaidizi wa application ya scholarship hii utatolewa, contact www.researchlinktz.com, visit the Opportunities page for more assistance.
  4. Anti-tozo

    Hauhitaji PHD kuelewa hichi

    Moja ya sera moja nilicheka cheka sana eti walifanya intoduction ya kodi ya miamala ya simu ku discourage the use of cash so moja ya kazi ya hii kodi ni watu wafanye malipo bila kutumia cash nikajiuliza huyu mwigulu does he know principle za economics kweli?
  5. R

    Ati Mungu Mwenyezi ni jina la Mungu? Hizi PhD za biblia hawa wahubiri wetu huwa wanazipata wapi?!

    Nimemsikia nabii mmoja wa Arusha ambaye ana cheo cha daktari wa falsafa (PhD) akifundisha kwenye radio yake kwamba Mungu hujifunua kwa majina tofauti kila anapofanya agano. Sasa ananukuu pale Mungu anapoongea na Musa kumwambia alimtokea Ibrahimu kama Mungu mwenyezi lakini hakujulikana na...
  6. Mshana Jr

    Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT, Dayosisi ya Karagwe

    1. Tundu Lissu siyo Donald Trump. Wanafanana ukali wa maneno lakini hawafanani ujinga wa kisiasa. Wote walipigwa risasi, zikawaongezea kura zao. 2. Lissu ni hukumu isiyo na rufaa kwa watawala wanaotumia risasi badala ya hoja. Rudisheni risasi mfukoni, nendeni shule mjifunze hoja. Wamarekani...
  7. C

    Fully funded scholarship for undergraduate, Masters and PhD in Turkey

    Haya ndugu zangu kama kawaida yangu ikitokea fursa nawatonya. Wengi waliniuliza kuhusu undergraduate, haya fursa ndo hiyo ya kwenda uturuki. Application ni simple sana just visit website Yao, na unaweza apply hata kama huna passport UKATUMIA national ID. Mimi kama kawaida yangu ni kuwasaidia...
  8. chakii

    Takwimu zinaonyesha kabla ya Uhuru mwaka 1961 asilimia 80 ya wasomi kwa ngazi ya PhD na Professor walikuwa wachagga

    Kheri ya mwaka mpya WanaJF
  9. sinza pazuri

    Ni jambo la kufurahisha Diamond Platnumz kuingizwa kwenye mtaala wa elimu ya Tanzania. Bado kupewa PhD ya heshima sasa

    Hatimaye wizara ya elimu imeona umuhimu wa kuingizwa kwenye mitaala ya elimu wasanii wakubwa kama Diamond Platnumz. Diamond na wasanii wengine wachache wa mfano kwa sasa wanasomwa na wanafunzi wetu darasani. Kwenye somo jipya la civic and moral diamond ametumika sana kama mfano mzuri wa watoto...
  10. Stephano Mgendanyi

    Balozi Hoyce Temu (PhD) Ahitimu Shahada ya Uzamivu ya Mawasiliano ya Umma

    BALOZI HOYCE TEMU (PhD) AHITIMU SHAHADA YA UZAMIVU YA MAWASILIANO YA UMMA Aliyekuwa Miss Tanzania mwaka 1999 na ambaye kwa sasa ni Balozi na Naibu Mwakilishi wa Kudumu katika Mashirika ya Kimataifa Geneva Uswisi, Mhe. Balozi Dkt. Hoyce Anderson Temu (PhD) amehitimu Shahada ya Uzamivu katika...
  11. B

    Balozi Hoyce Temu ahitimu Phd chuo kikuu SAUT

    Hoyce Anderson Temu, aliyezaliwa Machi 1978 katika Hospitali ya Mount Meru mjini Arusha. Alianza safari yake ya masomo katika Shule ya Msingi Matemboni Old Moshi mkoani Kilimanjaro na kuhamia Arusha katika shule ya Msingi Uhuru na baadaye kujiunga na Shule ya Sekondari Arusha, ambako alifanya...
  12. K

    Tuwape PhD za heshima wazalendo kama Salim Bakhresa, sio wanasiasa wala rushwa

    Tanzania ni nchi ya maajabu sana vyuo vimejaa siasa. Mtanzania mzalendo kama Salim Bakhresa sijasikia vyuo vikitaka kumpa PHD ya heshima badala yake inawapa wanasiasa ambao hawana sifa. Salim Bakhresa amejenga biashara na kutoa ajira kwa mazingira magumu sana. Hajawahi na wala hana sifa ya...
  13. ChoiceVariable

    Chuo Kikuu Mzumbe chamtunukia Rais Samia Shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uongozi

    https://www.youtube.com/live/4zaJF1ulpWo?si=IAPHRSt9HALIxBDp Chuo Kikuu Mzumbe kinatarajia Kumtunuku Rais Samia Shahada ya Udakatri wa Heshima katika Uongozi wa Chuo kama ishara ya kutambua jitihada zake katika kuboresha Elimu ya Juu Nchini hasa miundombinu,Utafiti na kuongeza idadi ya udahili...
  14. U

    Pongezi nyingi sana kwa sheikh Mustafa Rajab kutunikiwa shahada ya PhD

    Wadau hamjamboni nyote? Hongera sana shehe Mustafa Rajab kutunikiwa shahada ya PhD Kwa mujibu wa ukurasa wa FB wa nkusa online
  15. Makonde plateu

    Eti mtu anajisifia ni PhD, halafu PhD ambazo hazina mchango wowote kwenye maendeleo ya nchi hii

    Hivi mtu unajisifia una PhD kumbe PhD yenyewe ni ya sociology,law, education,public administration, accountant, public relations, community development n.k hizi PhD ambazo hazin faida yoyote zaidi ya mtu kupoteza muda tu darasani bila msingi wowote ule hizi zinatakiwa zifutwe nakuendelea...
  16. Father of All

    Kwanini Mwalimu Nyerere, pamoja kupewa PhD 23, tuzo lukuki, usomi na weledi vyake hakuwahi wala kupenda kuitwa daktari? Je, aliogopa au hakujua?

    Kwa walioishi wakati wa utawala wa baba yenu wa taifa ambaye ni kaka yangu, wanakumbuka alivyokuwa msomi, mbobezi na mwanafalsa wa aina yake. Pamoja na hayo na kutuzwa shahada za uzamivu 23, hakuwahi kuitwa au kujiita daktari. Je hakujua ujiko wake? Aliogopa nini na kwanini? Je hili...
  17. F

    Masters and PhD scholarships for international students. Researchlink International offers application assistance to qualified and serious students.

    You must be a graduate and are serious in making impactful application to these prestigious scholarships from UK and Denmark. ResearchLink International ResearchLink International offers technical assistance to a few serious students from Tanzania. Visit the organization website and go to the...
  18. John Gregory

    Top 3 GOAT Tanzania Rappers, Serikali itambue mchango wao ikibidi watunukiwe Phd

    Kama BAKITA kweli taasisi zingine za Lugha na sanaa zinatambua na kuenzi kazi za sanaa, basi nadhani wasanii hawa walipaswa kuenziwa na ikibidi kuthaminiwa sana na serikali kwa kuwashirikisha katika matukio muhimu ya sanaa badala kuwashirikisha watumbuizaji peke yao ambao hawana mchango wowote...
  19. Tundazuri

    Dondoo za masomo ya PhD UDSM

    Napenda kuwasapa salamu rafiki zangu. Kama nilivyosema hapo juu kuhusu dondoo za masomo ya ngazi ya PHD katika chuo cha UDSM. Nimekuwa nikipata ukakasi wa kwenda kusoma hapo kwa kushauri kwamba bora nikasome Ardhi University kuliko UDSM kwa sababu ya usumbufu. Usumbufu wenyewe ni kwamba...
  20. Mwizukulu mgikuru

    Ben saanane alihoji uhalali wa PhD ya magufuri, akapotezwa mazima

    Ilikuwa ni kitu cha ajabu sana, Mimi mbona juzi wamenihoji kuhusu cheti changu cha kuzaliwa kuwa tofauti Na vyeti vyenye taaluma zangu , yaani kuongezeka jina moja tu kwenye vyeti vya taaluma ikawa nongwa...
Back
Top Bottom