Ni bahati mbaya sana kwa vyuo vya nchi zetu hizi kuangalia zaidi wanasiasa na matajiri wakubwa na kuwagawia heshma hii kuliko kuangalia watu wenyemchango mkubwa mahususi katika jamii pana.
Kwa wenzetu mfano Harvard & na Oxford hutazama zaidi watu wenye mchango mkubwa katika tasnia flan, au...
Hii thread ni kwa ajili ya wana chuo au watu waliomaliza chuo kabisa na wenye ndoto ya kwenda kujiendeleza kimasomo kwa Masters na PhD.
Naandika huu uzi kutokana na my personal experience.
1. Rejea kichwa cha habari, nimeandika 100% FUNDING sijasema 100% SCHOLARSHIP. In short kwa US na Canada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.