Haloo is me "Mr. Liverpool" again.
Baada ya salamu, hebu tuingie kwenye hoja..
INTRODUCTION
Mimi ni kijana mwenye miaka 32.
Elimu yangu ni Masters ya mambo ya biashara.
Ni mwajiriwa wa Halmashauri moja wapo hapa nchini.
Mimi ni baba wa watoto wawili (kila mmoja na mama ake).
Wanangu huishi na...
Wala usiumize kichwa kutaka kujua limekopwa lini, kwa sababu anayekopa si Rais, inakopeshwa serikali, mikopo yote ya nchi yetu haikopeshwi kwa awamu, kuna nchi ambazo zinakopa kwa awamu, lakini kabla hujamaliza awamu yako uwe umeshalipa".Waziri Nchemba.
Chanzo: ITV Tanzania
Yaani...
Waziri wa fedha amechemka. Maana hata takwimu alizotoa hazilandani na kilichomo kwenye bajeti.
Na hii bajeti haikufanyiwa utafiti
Profesa Lipumba: Bajeti ya Serikali mbovu kuwahi kutokea.
=========
Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba ameikosoa bajeti ya Serikali...
Kaka yangu Mwigulu L Nchemba (Phd).
Hoja hizi hapa chini, ni baada ya kuongea na wewe (siku x) baada ya kusoma bajeti.
Hongera sana kwa kuwasilisha bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2022/2023. Ukweli umejitahidi sana kuanzisha vyanzo vipya vya mapato na ninaona lengo lako ni viewable...
Ndugu zangu hii kitu mimi hainiingii akilini.
Ukifatilia mijadala ya vijana wa CCM kuhusu hali halisi ya siasa na chama chao utashangaa.
Nimekuwa nikifatilia mijadala Star Tv kwenye kipindi cha Siasa, demokrasia na uchumi wale wageni wanaowakilisha chama na kujitanabaisha kuwa ni wasomi hawana...
Huyu mtu ana akili nyingi sana na ni mzalendo wa dhati mwenye maono mazito juu ya nchi yake. Ni nadra sana kuwa na watu wa aina hii. Tatizo letu watanzania ni kushindwa kuwatumia vizuri watu wa aina hii kwa maendeleo ya taifa letu.
Tangia awe mbunge zaidi ya miaka 10 mfululizo, michango yake...
INAHITAJIKA MIAFAKA siyo MUAFAKA.
Kuna harufu ya mparaganyiko kila mahali. Ni kama tuna nchi moja yenye mataifa mengi ndani yake. Badala ya muafaka wa kitaifa, inahitajika miafaka kadhaa ili kuunda muafaka mmoja.
1. CCM si moja. Kuna CCM-Mpina na CCM-January. Kuna CCM-Mwendazake na CCM-Samia...
Kwa hatua za awali kabisa nimeanza kuona wasiwasi alionao ndugu msemaji wa Chama mpaka kufikia hatua ya kumtambulisha Chongolo kama dokta na madokta wa kweli kutambulishwa kama ndugu tu.
Kwa tunaofahamu historia ya Ndg. Chongolo tumepata wasiwasi kuona utambulisho huo.
Je, kuna kilichofichwa...
Moshi. Mke wa Mwenyekiti wa TLP, Agustino Mrema, Doreen Kimbi amesema hakufuata mali kwa mwanasiasa huyo, kwakuwa anayejiweza kiuchumi.
Doreen ameyasema hayo leo Alhamisi Machi 24 baada ya ndoa yao iliyofungwa katika kanisa Katoliki jimbo la Moshi parokia ya Uwomboni mkoani Kilimanjaro...
UPDATES:
=====
Moderator: Hii thread Imefungwa kwa sababu Sheria za Tanzania na Kanuni Mpya za Maudhui 2020, haziruhusu Mijadala kama hii. Asante
Hii thread ni vyura kwenda mbele tu wazee kina Behaviourist,
Mrangi na TIASSA tukutane hapa.
Tujitahidini iwe clean no nudity!
Wanabodi, naomba kujua hivi vitu wanatumia vigezo gani kufanyika?
1. Nmeshaona jamaa ana Diploma then Masters, hakupiga Bachelor Degree.
2. Nmeona watu wana Bachelor Degree then wana PhD, hawakufanya Master Degree(mfano Prof. Ndalichako n Prof. Mwandosywa)
Swali langu kuweza kutoka Diploma...
Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema alijaribu kufanya Shahada ya Uzamivu lakini kutokana na majukumu mengi ameshindwa huku akisema ataimalizia baadaye.
Mkuu huyo wa nchi amesema hayo leo Alhamishi Januari 27, 2022 wakati wa mahojiano maalumu yaliyorushwa na Shirika la...
Naona Majina yao hajaanza na Dr.
Je ni kwamba kuna utata wowote na hizo PhDs?au bado vyeti vyao havijawasilishwa au ni makosa ya kiuandishi tuu. wajuzi wa itifaki mtusaidie hili
Mgawanyiko mkali kati ya watu wa Lukuvi,Tulia,Mussa. Kila mtu anataka mtu wake awe spika wa bunge. Na kila kundi linaona mtu wake ndio anafaa kuwa spika.
Musukuma kubebwa na PhD yake ili kuukwaa uspika.
Ngoja tuone mwisho wa hii kitu.
Msanii Clayton Chipando maarufu kama Baba Levo amesema kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa ametunukiwa "Phd" ya heshima ya Afya, Siasa, Sanaa na Burudani na Chuo cha City College of Health and Allied Sciences.
Baba Levo amenukuliwa kwenye mtandao wa instagram akisema
"JANA UONGOZI WA CHUO...
Pia, soma: Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya
Siku mbili baada ya shahada za uzamivu (PhD) za viongozi wa kisiasa hasa Mawaziri na Wabunge kuibua mjadala, uongozi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) umezitetea na kueleza namna ya kuondoa shaka juu yake.
Akizungumza na Mwananchi, Makamu Mkuu wa UDOM, Profesa Faustine Bee amesema wenye shaka...
Siku zote Mwanafunzi anapokwenda darasani ufanya Kwa mujibu wa maelekezo ya walimu na wasimamizi wake, ufanya Kwa mujibu wa Sheria na kanuni za chuo na ufanya Kwa kuzingatia principles za vyuo husika. Mwanafunzi ajifaulishi anafaulishwa na wanaofaulisha ni wasimamizi wake.
Prof Mwandosya na...
Mnaombeza Prof Ndalichako amesoma PhD University of Alberta Canada
The University of Alberta, kilianzishwa 1908 ni chuo cha 135 duniani kwa ubora.
Prof ana bachelor ya Hesabu (Methamatics) University of Dar Es Salaam from 1987–1991,
1993–1997 alienda University of Alberta, Edmonton...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.