Ni vyema na ni wakati muafaka Freeman Mbowe akapewa hii heshima, kwani anaistahili vilivyo.
Natumai vyombo husika wataliangalia hilo.
Freeman Mbowe ana mchango mkubwa sana kwenye siasa zetu Tanzania
Toa maoni yako
Picha ya Freeman Mbowe
Wapo wasomi wakubwa wamepata PhD kutoka vyuo vyenye sifa kubwa duniani lakini wasomi hawa wapo nyumbani hawana kazi.
Sipendi kuamini kuwa hatuwahitaji watu hawa nchini. Tumewasomesha kwa gharama kubwa na sasa tuwatumie kwa faida ya taifa letu.
Ninashauri rais wetu mama Samia kuwe na kanzi data...
Kama kweli serikali ina mpango wa kuhamasisha wanazuoni wa vyuo vikuu vya Tanzania kufanya tafiti na kuchapisha maandiko katika majarida makubwa ya kimataifa, napendekeza yafuatayo:
1. Serikali itenge fedha kwa ajili ya ufadhili wa wanafunzi wa masters, PhD na PostDoc kila mwaka kama mataifa...
Pamoja na kwamba taifa letu limewahi kuwa na viongozi katika ngazi ya Urais ambao wameishatangulia mbele ya haki! Kikatiba kumbukizi linalopelekea siku ya mapumziko ni kwa waasisi wa taifa letu (Nyerere & Karume).
Hata hivyo siku ya tarehe 17 March kila mwaka, ni siku ya majonzi kwa watanzania...
FURSA YA MASOMO kwa wenye master's ya petroleum, geology, oil and gas, physics, and mathematics.
The Helmholtz Centre Potsdam – GFZ German Research Centre for Geosciences in Potsdam, Germany has an open PhD position on the “Re-use of abandoned wells for geothermal energy.” This will be a part...
Masoudi Kipanya ana uwezo wa kuwasilisha fikra za Watanzania na jinsi wanavyohisi kuhusu maisha yao ya kila siku.
Hata hivyo, anaeleza kwa lugha rahisi kwamba Watanzania wamechoka na siasa kutokana na uwongo, unafki, ufisadi, wizi, na ulaghai ambao unafanywa na wanasiasa wa nchi hiyo. Kwa...
Karibu Sana Songwe. Fursa kibao ni kujipanga tu. Madini na Border mtu hukosi 5m Kwa siku, ni mwendo wa kulamba asali tu.
NB: Japo naona kama unaelekezewa njia ya kuondoka kiustaarabu.
Wasalaam JF,
Bila wivu ila ukweli usemwe, hawa jamaa tuliosoma nao primary, secondary na vyuo, akishapata udaktari wa Falsafa yaani PhD au uprofessa wanajikuta sana, wanajiona kama elimu yake ni uboss wakati elimu ni yake na maisha ni yake, kama wewe ni Frank, Anna, Rachel , Juma hilo ndio jina...
PhD iwe ya kuingia darasani na kutoa andiko, kutoa andiko, au ya heshima zote zina sifa moja inayofanana. Sifa hiyo ni kutunukiwa na chuo husika baada ya kutimiza vigezo na masharti yao.
Walio na PhD baada ya kuingia darasani na kutoa andiko au kutoa andiko huenda mbele ya chuo husika na kusema...
Kama ndio Hali ilivyo ya kujigawia PhD Kama akina Tale Tale ambao nao wanajitambulisha Bungeni eti anajiita Dkt.Tale Tale, Basi Kila mtu ajipe udaktari kwa sababu kila mtu amepitia changamoto na kuvumilia Mambo mengi maishani. Hivyo kila mtu ajiite Dkt Sasa. Mimi naitwa Dkt.
Kyambamasimbi Nina...
1. Hizo PhD za kusomea zimeleta maajabu kwenye Uchumi, Jamii ya ki-Tanzania? Nchi hii tuliwahi kuwa Na Waziri wa Mambo ya Nje baadae Katiba na Sheria (PhD holder) alifuata Dawa za Mitishamba (feki) na ndege (full-paid) Madagscar.
2. Sasa mnaipamba PhD utadhani wenye nazo wanajielewa.?
Kulingana na mchango wake mkubwa katika kuukuza muziki wa kizazi kipya napendekeza msanii mkongwe Chidi Benzi apatiwe PhD ya heshima sasa akiwa hai kama alivyopatiwa Babu Tale
Spika anamaanisha wenye makaratasi ya PhD ya kusomea darasani wanadhalilishwa na Hawa wanaopewa PhD kwa kazi walizofanya kwa taifa lao, ni upuuzi kututaka tuyaheahimu makaratasi yasiyotusaidia chochote Wala hayasaidii nchi yetu zaidi ya kutuibia tu.
Nawaheshimu sana wanaopewa udokta kwa sababu...
Suala la PhD (Doctor of Philosophy) zinazotolewa kama za heshima, sasa si tu linakera, bali sasa linarahisisha na kudharaulisha maana hasa ya elimu.
Kama PhD, a pinnacle of acchieved learning, research na contribution to natural understsnding, linaanza kuwa la kisiasa nchini, basi tumefikia our...
Nilikuwa nafuatilia vyuo vinavyotambuliwa na PhD za heshima walizotoa. Ukiangalia vizuri zimejaa wanaharakati, wachezaji wa michezo mbali mbali na wasanii. Sasa huyu spika kupoteza muda na kujadili haya ili tu Dr waitwe wenyewe haitawezekana na haipo kisheria kama ananyo aminisha watu. Hivyo...
Wasalaam
Madam Speaker ameshauri watu wakasome, wasinunue PhD nitaweka video.
Nchi hii ina vitu ya ajabu sana wanataka kuchezea mpaka taaluma bila haya.
Wakasome, narudia, wakasome
Mheshimiwa Spika Tulia Akson tafadhali chukua nafasi yako kama kiongozi wa bunge kuhakikisha serikali inajibu hoja zote za wabunge kwa ufasaha vinginevyo bunge litapoteza heshima yake.
Mwigulu ajibu hoja za wabunge na siyo kuwadhalilisha eti kwa kuwa ana PhD. Hapo bungeni wapo walioishia darasa...
Jana, leo, watu wanajitangaza kupewa PhD. Bunge sasa limekuwa ni kama chuo cha kutafuta PhD. Yaonekana hata semina za ndani ya CCM hawapeani maonyo juu ya tabia mbaya.
Kubwa zaidi ni udhaifu wa TCU. Yaani TCU wapo kwa ajili ya kusimamia udahili wa wanafunzi wa vyuo vikuu tu! Hawasimamii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.