Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na kupambana na Dawa za Kulevya nchini Aretas Lyimo amesema serikali itaanza kuwachukulia hatua za kisheria wanaovaa mavazi yenye picha ya bangi.
Lyimo amesema hayo jijini Dodoma wakati wa uwasilishwaji wa Taarifa ya Hali ya Dawa za Kulevya kwa mwaka...