picha za ai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi adaiwa kuonekana Dubai, mapumzikoni. Je ni yeye au picha za AI?

    ===== Aliyekuwa Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi, ameonekana nchini Dubai hivi karibuni akiwa kwenye mapumziko, taarifa ambazo zinafuta uvumi uliokuwa ukienea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kutoonekana kwake wiki kadhaa tangu ajiuzulu Taarifa za vyanzo mbalimbali zinaeleza kuwa Dkt...
  2. JamiiForums Tanzania Herbalist Dr MziziMkavu wewe ni memba mkongwe hapa ndani acha kutumia picha za AI kudhalilisha dini za watu.

    Weee mzee Herbalist Dr MziziMkavu nimekerwa sana na bandiko lako la udhalilishaji wa dini ya Kikristo haswa dhehebu Katoliki. Umetumia picha ya kutengenezwa kuwadhalilisha watawa na makasisi wa kanisa Katoliki. Hata sisi tuna uwezo wa kutengeneza picha za madudu aliyofanya Mwamedi, kama kuoa...
  3. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutengeneza Picha Kuwa Video kwa Kutumia AI ya Grok Imagine

    18 Julai 2026 Teknolojia ya akili bandia imefanya kazi ya kutengeneza video kuwa rahisi zaidi kuliko ilivyokuwa miaka michache iliyopita. Sasa hauhitaji kamera ya gharama kubwa, mwigizaji, studio au ujuzi mkubwa wa ku-edit video ili kutengeneza video fupi zinazovutia. Kwa kutumia Grok Imagine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…