Herbalist Dr MziziMkavu wewe ni memba mkongwe hapa ndani acha kutumia picha za AI kudhalilisha dini za watu.

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
11,999
Reaction score
24,328
Weee mzee Herbalist Dr MziziMkavu nimekerwa sana na bandiko lako la udhalilishaji wa dini ya Kikristo haswa dhehebu Katoliki.

Umetumia picha ya kutengenezwa kuwadhalilisha watawa na makasisi wa kanisa Katoliki.

Hata sisi tuna uwezo wa kutengeneza picha za madudu aliyofanya Mwamedi, kama kuoa kitoto cha miaka 7, kunyonya tupu za mwanaume mwenzake, na uchafu wake mwingi.

Hatuoni haja ya kufanya hayo kwasababu tunaheshimu imani za watu wengine.

Kwa namna njema sana, naomba uwe muungwana, liombe jukwaa radhi, na uwaombe moderators wafute huo uzi wako haraka sana.
 
Huyu mzizi mkavu,ni muislamu?Umejuaje kama ni muislamu?Huwenda akawa hana dini.
 
Weee mzee Herbalist Dr MziziMkavu nimekerwa sana na bandiko lako la udhalilishaji wa dini ya Kikristo haswa dhehebu Katoliki.

Umetumia picha ya kutengenezwa kuwadhalilisha watawa na makasisi wa kanisa Katoliki.

Hata sisi tuna uwezo wa kutengeneza picha za madudu aliyofanya Mwamedi, kama kuoa kitoto cha miaka 7, kunyonya tupu za mwanaume mwenzake, na uchafu wake mwingi.

Hatuoni haja ya kufanya hayo kwasababu tunaheshimu imani za watu wengine.

Kwa namna njema sana, naomba uwe muungwana, liombe jukwaa radhi, na uwaombe moderators wafute huo uzi wako haraka sana.
Wewe na yeye hakuna tofauti mkuu maana na wewe umeandika ya kumdhalilisha uliyemwita mwamedi, ingetosha tu kutoa malalamiko yako bila kuingiza hayo
 
Weee mzee Herbalist Dr MziziMkavu nimekerwa sana na bandiko lako la udhalilishaji wa dini ya Kikristo haswa dhehebu Katoliki.

Umetumia picha ya kutengenezwa kuwadhalilisha watawa na makasisi wa kanisa Katoliki.

Hata sisi tuna uwezo wa kutengeneza picha za madudu aliyofanya Mwamedi, kama kuoa kitoto cha miaka 7, kunyonya tupu za mwanaume mwenzake, na uchafu wake mwingi.

Hatuoni haja ya kufanya hayo kwasababu tunaheshimu imani za watu wengine.

Kwa namna njema sana, naomba uwe muungwana, liombe jukwaa radhi, na uwaombe moderators wafute huo uzi wako haraka sana.
AI ipigwe marufuku kwa wazee .
 
Back
Top Bottom