Tangu Juni 18, 2024 nchi ya Kenya imetawala vyombo vya habari baada ya Wananchi wake kufanya maandamano wakipinga mswaada wa fedha (Soma hapa). Kufuatilia tukio hilo kumekuwa na picha mbalimbali zinasambaa mitandaoni na kuhusishwa na Maandamano ya Kenya ya Juni. Baadhi ya picha ni halisi na...