picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. Picha kali ya wiki hii hapa, Maandamano ya CHADEMA Kahama

    Hii hapa ni Picha kali ya wiki hii iliyochukuliwa kwenye Maandamano ya CHADEMA huko Kahama . Wengi wanadhani Polisi wanakuja kwenye Maandamano haya kwa sababu ya Kikokotoo, lakini mimi napinga, na naamini Polisi wanakuwa kwenye Maandamano haya ili kutimiza majukumu yao ya Ulinzi na Usalama.
  2. Furaha Dominic, Mpwa wa Hayati Magufuli apandishwa Kizimbani kwa kusambaza Picha za Ngono

    Furaha Jacob, ambaye ni mkemia na mwenzake, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakikabiliwa na mashtaka matatu likiwemo kuchapisha na kusambaza picha za ngono mtandaoni. Mbali na Jacob, mshtakiwa wa pili ni Mustapha Kuhenga(28) ambaye ni mtaalamu wa Tehama na...
  3. Rais Samia atoa Nishani za Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuzindua Kitabu cha Miaka 60 ya Historia ya Ofisi ya Makamu wa Rais

    Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa Nishani za Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuzindua Kitabu cha Miaka 60 ya Historia ya Ofisi ya Makamu wa Rais katika Viwanja vya Ikulu - Chamwino Dodoma tarehe 24 Aprili 2024...
  4. R

    Kuna viongozi wana picha nyingi mitandaoni zisizoendana na utatuzi wa kero za maendeleo; kila jambo wamejiposti

    Ukiona kiongozi anapenda kila anapokwenda vyombo vya habari vimpige picha na kuposti tambua huyo hana maono. Utendaji kazi haupomwi kwa wingi wa picha na ziara ulizofanya; utendaji kazi upimwa kwa idadi ya kero ulizotatua . Na siyo kero ulizotatua pekee bali namna ulivyotafuta ufumbuzi wa...
  5. Picha zifundishazo

  6. Picha: Umemtambua huyu ni nani?

    Huyu ni msanii mkubwa ulimwenguni, je umemtambua kuwa ni nani?
  7. TrueStory: Jamaa kaoa, kapost picha, KAJUTA!

    Hii imetokea nchini Kenya. Kama wewe ni mtu wa mitandaoni naamini kuwa umeshaiona hii habari. Jamaa kaoa, kwa furaha kapost picha za ndoa mtandaoni, from nowhere akatokea jamaa akapost picha akiwa faragha na mke wa jamaa wakiwa watupu. Taarifa zisizo rasmi ni kwamba jamaa amezua timbwili...
  8. A

    Tsh 1000 kwa picha ya katuni/ Superhero utakayochora

    Habari wakuu! Nimekuwa na hamu ya kumiliki character wangu anayeitwa TANZANIAN (kama masudi alivyo na Kipanya, au kulivyo na madenge, nk) ambaye nitaweza kumtumia kwenye ujasiriamali mbalimbali mfano kutengeneza jarida, kutengeneza content za social media (animation videos) nk Shida...
  9. Tuoneshe asili/maana ya ID yako kwa video au picha, ya kwangu ni hii

    Naona watu wengi wananiuliza nini maana ya prakatatumba, huyu mwamba cabo snoop aliitisha sana na ule wimbo wake wa Windhoek, sijui ameishia wapi lakini mimi nimekua fans wake mkubwa miaka yote.
  10. Kuna 10,000(elfu 10) cash kabla ya saa 06:00 asubuhi kwa atakayeonesha picha full nyumba yenye paa hili

    Hii picha inatrend sana hasa Tanzania ikizungumziwa masuala ya mvua na mafuriko. Naomba picha hii ikiwa full. Yaani nyumba full. Kuna 10,000/= cash kabla ya saa 06:00 asubuhi. Nipe picha ya hii nyumba ikiwa full na paa lake hili linaloonekana kama lilivyo Karibuni kwenye mpambano. 10,000...
  11. Picha: Hili geto ni la mtu kutoka mkoa gani?

    Unahisi mmiliki halali wa hili ghetto atakuwa anatokea mkoa gani?
  12. Picha: Unaweza kuishi kwenye Chumba hiki?

    Chumba chenye open Maliwato...!
  13. G

    Sijawahi kuona Askari akiwa mjamzito

    Sijawahi kuona askari akiwa mjamzito. Huwa hawabebi mimba? Mwenye picha ya askari akiwa mjamzito atupie hapa.
  14. Zamani ukitembelea nyumbani kwa mtu unapewa albamu ya picha uangalie, siku hizi unapewa nini?

    Hizi mambo za kupewa albamu kuangalia picha za wenyeji wako hivi bado zipo kweli ndugu zangu? Wewe ukienda kutembelea ndugu, jamaa na marafiki ukifika wanakupa nini au wewe ukitembelewa huwa unawapa nini?
  15. SI KWELI Mawingu yenye Mwonekano wa umbo la Yesu yaonekana Angani nchini Kenya

    Wakuu, Nimekutana na Picha inayosambaa Mtandaoni imeniogopesha sana. Ni mawingu yenye mwonekano wa Yesu, ama kweli siku za mwisho zimefika.
  16. Unapenda Paka? Tupia picha ya Paka wako tumuone

    Mufti kuku The Infinity kwenye picha ya pamoja na paka wake Cc BICHWA KOMWE -
  17. Tuonyeshe picha ya baadhi ya vifaa vyako vya kazi vinavokupa maisha

    Kama viko store kwenu au hapo kibaruani kwako tupigie picha ya baadhi ya tools zako unazoziaminia na kuzitunza daima kwani ndizo zinazokupa ugali.
  18. Wachambuzi watoa picha kuonesha Israel imeshindwa vita

    Baadhi ya nukta walizotoa wachambuzi hao ni kuwa wakati Israel inadai imewaua Hamas wengi sana lakini viongozi wakuu wa kundi hilo ama wako nje au wako chini ya mahandaki na hawajawapata. Pia Israel imeshatangaza mara kadhaa kuwa imeyadhibiti maeneo ya kaskazini na kati ya Gaza,lakini bado kila...
  19. Picha: Pyongyang Korea Kaskazini

    Kumbe kiduku kwa miundo mbinu hayuko vibaya sana.
  20. Nani ameona picha ya Gari ya Ole Sendeka iliyochakazwa kwa risasi?

    Gari ya Lissu tuliiona, na matundu ya risasi tuliyaona, vipi gari ya Mzee Ole Sendeka iliyoshambuliwa kwa mvua ya "mirisasi" mmeiona? Naomba picha nilione na mie Pia soma > Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka ashambuliwa kwa risasi na Watu wasiojulikana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…