picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwande na Mndewa

    Hii picha ina trend sana. Uchumi wa Tanzania uko mikononi mwa watu wachache, wengi wanaishi maisha ya hali ya chini sana

    Hii picha ina trend sana. Uchumi wa Tanzania uko mikononi mwa watu wachache,wengi wanaishi maisha ya hali ya chini sana.
  2. A teller

    Najiuliza, sijui Samia nae aliiona ile picha ya Lema aliyogoma kumpa mkono Makonda?

    Kama NI kweli uteuzi umefanyika kimkakati either kumkomoa Lema au kudhoofisha chama cha chadema basi mama atakua ametukosea Sana wananchi. Sawa , uzuri wote Wana nguvu, mmoja mdomo ni mwingi mwingine vitendo vingi Wanasema mmoja ni Mwizi WA magari mwingine Mwizi WA nyumba!! Lema usiwe mnyonge!!!
  3. THE FIRST BORN

    CAF kama mmeweza kutumia Picha ya Mandela kwa upande wa Mamelodi kwanini Msingeweka picha ya Nyerere upande wa Yanga?

    Hii Picha kwanini wasingemweka na nyerere? Najua kuna watu mtaniona kama nimewehuka ila mjue hizi issue ndio hua zinafanya wamchukulie poa Nyerere kabisa. Nyerere kafanya makubwa Mengi kwa Afrika ila hua hatambuliwi hadi hapa unaona kabisa..wameona huyo Askari ndie mkubwa Nchini kuliko...
  4. M

    Hii picha Ina tatizo gani

    Imepostiwa na Page ya club ya Al Ahly katika kurasa zao je? Ina shida Gani!
  5. C

    Picha: Hili ni tatizo gani la ngozi?

  6. Mjanja M1

    Unaweza kuamini kuwa huyu ni Mwanaume?

    Huyu ni Mwanaume kutoka Nigeria ambae amejibadilisha na kuwa na muonekano wa kike. Jina lake ni Daniel Anthony Nskan.
  7. Mjanja M1

    Picha: Ndoto ya kila Mwanaume

  8. Abraham Lincolnn

    Picha: Hii nchi imepitia mambo magumu mno

  9. Mjanja M1

    Picha: Vyombo vya CCM

    Maandalizi yameshaanza.
  10. Ghost MVP

    Vijana umakini unahitajika wadada kuvujisha picha za faragha

    Kumekuwa na Trend kubwa ya Wadada/ Michepuko kuvujisha Picha za Faragha wanapokuwa na wapenzi au watu wao. Mfano MCpilipili, Nyalandu, na aliyekuwa katibu mwenezi wa CCM. Hii imekuwa kama tabia sasa, wadada kuwapiga picha waume za watu hao na kushare mitaoni, japo lengo halijukani haswa...
  11. Mjanja M1

    Picha: Ukweli Mchungu kwa walipa Kodi

  12. Teko Modise

    Tuonyeshe tofauti katika picha hizi

    Umegundua nini hapa?
  13. Determinantor

    Picha Yangu: Good morning Lindi

    Hii picha nilipiga tarehe 08/03/2024 asubuhi Lindi - Tanzania. Hakika Tanzania ni nzuri Aiseee. Camera tu ndio unaniangusha sasa Mla Bata njoo huku
  14. Determinantor

    Picha yangu ya Siku 2024

    Hii picha nimepiga Leo asubuhi huku barabarani. Hakika hii Nchi nzuri kabisa. Kuna yule Jamaa aliyechora mawe Nchi nzima, sijui yuko wapi.
  15. Mjanja M1

    Picha: Karia akabidhiwa Jezi ya Simba na Ahmed Ally

  16. Mjanja M1

    Picha: Je Mfalme Charles amekosea kupokea nyaraka za Balozi Kairuki kwa mkono wa kushoto?

    Kitendo cha Mfalme wa Uingereza, Charles III, kupokea nyaraka za kujitambulisha kutoka kwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mbelwa Kairuki, jana kwa mkono wa kushoto kimeibua mjadala. Mfalme Charles, ambaye hutumia mkono wa kulia, amekosea kupokea kwa mkono wa kushoto?
  17. Mjanja M1

    Picha: Ahmed Ally kabla ya kuwa Semeji la Wanamsimbazi

  18. Gordian Anduru

    Itatafsirikaje picha au video polisi Tanzania wakimdhibiti shabiki aliyevaa jezi ya Mamelodi au Al Ahly?

    Nasemea kama shabiki mmoja wa Simba/ Yanga akiamua kuvaa jezi ya Mamelody/ AHLY Kisha polisi wakamkamata ikakichukuliwa picha. Mamelody/ahly hawawezi kuitumia picha hiyo kudai kuwa OUR FANS WERE HARRASED and arrested, je video au picha itatofaitisha vipi Shabiki msouth Africa, mmisri na Shabiki...
  19. Kyambamasimbi

    Kabla hujafika Dar es Salaam, ilikuwa ukisimuliwa habari zake ulikuwa unajenga picha gani kichwani?

    Habari wana JF, Binafsi kabla sijafika Dar nilikuwa na picha ya tofauti kidogo kichwani hasa ubungo na wakati huo anayekusimulia ametoka Dar eti amesahau hadi kilugha si unajua wanyakyusa tena kwa mbwembwe ndizi alianza kuuliza eti zinaitwaje kilugha? na amekuja na mikate ile mikubwa huku...
  20. Mjanja M1

    Picha: Kuwa makini na bidhaa za online

    Meza niliyoagiza Meza iliyoletwa
Back
Top Bottom