Kumekuwa na Trend kubwa ya Wadada/ Michepuko kuvujisha Picha za Faragha wanapokuwa na wapenzi au watu wao.
Mfano MCpilipili, Nyalandu, na aliyekuwa katibu mwenezi wa CCM.
Hii imekuwa kama tabia sasa, wadada kuwapiga picha waume za watu hao na kushare mitaoni, japo lengo halijukani haswa...