picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Viongozi wa kisiasa,dini, ndugu zetu na watu maarufu wanaotumia Facebuku akaunti zao zinatumika kama link ya picha za ngono

    Kwa siku za hivi karibuni kumeibuka changamoto ya akaunti nyingi za Facebuku kutumika kama platfom ya picha za ngono. Utafiti mdogo unaonyesha ukitaka kutambua mtazamaji wa picha chafu kagua akaunti zao kwani wamewekewa ads za Facebuku akaunti kurahisisha watu wengi kuvutiwa na kujiunga. Kama...
  2. M

    Picha hizi ni funzo kwetu

    Picha hii. Kama unaona uislam wako ni daraja l1 badala ya siasa au biashara au cheo chako huu ujumbe muruwa. Kama watoto wako uliwaekeza ktk international school pekee na sio madrasa imekula kwako maana ya kumaliza kisomo ndio basi hakuna atakaekuombea dua
  3. Picha 15 za hafla ya Mazishi, Dua na Sala ya mwisho kwa Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi

    Picha 15 za hafla ya Mazishi, Dua na Sala ya mwisho kwa Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi
  4. Picha: Wanasiasa na Vito vya thamani kwenye maandamano by Lucas Mwashambwa

    Batanzania. Ni baeleze. Lucas mwashambwa ameandika kwa mu post. Ameandika: Sugu ameonesha ulimbukeni mkubwa sana kusema kuwa ameweka rekodi ya Dunia ya Muandamanaji aliyevaa vito vya thamani zaidi katika maandamano Mm nabaletea picha kwa muhtasari.
  5. Picha: Huyu ni nani? Mbona amekuwa akitrend sana kwenye mitandao ya kijamii?

    Kwa wale watumiaji wa mtandao pendwa wa X, nadhani mtakuwa mashahidi. Kwenye misiba hii ya taifa nimemuona sana. Pia kwenye habari za kigogo ama Malkia, watu humtumia sana kwenye replies. Ni nani huyu? Ama ana uhusiano gani na matukio kama haya? Ama wanamtumia kwenye issue za huzuni kwa sababu...
  6. Kimsingi Polisi hawana matatizo yoyote na Wananchi, Picha hii kutoka Arusha ni Ushahidi kamili

    Mara zote tumewashutumu polisi humu jf na kwingineko , na hata tumefikia na kuazimia kulivunja Jeshi hilo ilii liundwe upya, Lakini kiukweli Polisi ni watu wazuri tu , Shida kubwa ni hao viongozi wao wanaotaka kila askari awe mtumwa wa CCM, kwa vile wao wameteuliwa na Mwenyekiti wa CCM kwenye...
  7. Jeshi la polisi laanza operesheni ya kubandua namba za magari za 3D

    Kama utani operesheni ndio imeanza usije ukasema hujaambiwa
  8. Picha yangu bora ya siku

  9. INONGA DAY: Tupia picha za Hamasa za mashabiki wa Simba wakijiandaa na Inonga Day

    Ewe Mwana lunyasi, Tuendelee kuhamasishana ili Jumamosi tukamkande Galaxy pale kwa Mkapa. Katika kuelekea mchezo huo, Afisa habari wetu ametupa hamasa wana lunyasi kwa kuuita Inonga Day au ukipenda Inonga Mgeni Rasmi. Nasi kama wana Simba, tunatakiwa tutokelezee kama Inonga. Hizi ni baadhi...
  10. Prof. Janabi: Nakula mara mbili kwa siku

    Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Mohamed Janabi, amesema katika maisha yake na kile anachoishauri jamii anamaanisha na kukiishi. Amesema kwa siku anapata mlo mara mbili, na kila mlo unapishana kwa saa kadhaa, akijieupusha kula mara kwa mara. Prof. Janabi...
  11. Haya majina ya wanaCCM wanaotaka kuwa maaskari ni ya kweli?

  12. Picha: Tuondoe ubishi, huyu ni Stamina ama Davido?

    Utoto raha sana
  13. Sipendezwi na picha halisi ya twiga katika ndege za atcl

    Habari, Bila kupoteza muda niseme tu kwamba binafsi kama mtanzania, nakerwa na kuchukizwa sana na picha halisi ya Twiga iliyopo katika mkia wa ndege katika kila ndege ya Shirika la ndege la Tanzania ATCL. Sipendezwi na uamuzi huo wa kuweka picha halisi ya mnyama (Twiga) isiyokuwa na ubunifu...
  14. Picha: Rais Samia ashiriki mazishi ya kitaifa ya Dkt. Hage Geingob

    Habari picha zikimuonesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan alipohudhuria mazishi ya kitaifa ya aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Namibia Hayati Dkt. Hage Geingob yaliyofanyika leo, Jumamosi Februari 24.2024 kwenye uwanja wa michezo wa Uhuru uliopo jijini Windhoek...
  15. Picha: Huyu sio Chief kweli?

  16. G

    Baa ya Kitambaa Cheupe Tabata inaungua moto

    Nipo kwenye gari nimeshindwa kupiga picha ila hali ndio ilivyo kwasasa. Habari zaidi nini chanzo cha moto ni huko baadae, wahusika wakija kuhojiwa.
  17. Picha: Hivi kuna uhusiano upi kati ya Mwalimu Nyerere na Maxence Melo?

    Maake naona kama kuna mfanano kati ya picha ya ujana ya Mwalimu J.K Nyerere na Mwanzilishi wa mtandao wa JamiiForums, Ndugu Maxence Melo Ni hayo tu. Karibuni tupooze makoo yetu hapa TipTop Bar
  18. Picha ya siku kutoka Mbalizi, Mbeya

    Imepatikana kwenye Maandamano kabambe ya Chadema , kwenye ile Ruti ya kutokea Mbalizi Hii hapa, inahusiana na Madhara ya Kikokotoo
  19. Picha: Hayati Julius Nyerere original

  20. Picha Yangu bora msibani kwa Lowasa inaongea Mengi

    1. Lema na Usaliti ni vitu viwili tofauti 2. Namuona Dalali hapo kama kuna pesa hata Lema anaweza kuwa takataka kumzidi bashite 2. Namuona Dalali hapo mtu wa kujikomba komba akidhihilisha kuwa wao ni wamoja ila wanapretend kuwa tofauti mbele yetu. 3. Lema ni mtu serious kuanzia Usoni hadi moyoni
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…