TAARIFA KWA UMMA
Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Lindi kimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za uzushi na upotoshaji mkubwa zilizochapishwa kwenye mitandao ya kijamii zikielezea kuwa baadhi ya Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Liwale wamekamatwa na Jeshi la Polisi Tanzania na kuletwa...