The arrector pili muscles, also knows as hair erector muscles, are small muscles attached to hair follicles in mammals. Contraction of these muscles causes the hairs to stand on end, known colloquially as goose bumps (piloerection).
Habari za leo wanajamvi,
NINATUMA UZI HUU KUFUATIA UZI Nilioutuma Novemba 2008: Bado sijawapata ndugu zangu Joseph na Patrick (Watoto wa Afande Lemson Jonas Mgalla aka Afande SOKOMOKO WA MSALATO):
1. Patric ambaye mama yake ni Wanjila Zakaria. Patric alizaliwa Dodoma mwaka 1973 maeneo ya...
Habari wakuu
Katika maisha yangu nimekua nikiamini mwanamke akiwa na kazi au biashara ya kutoka asubuhi na kurudi jioni kuongea na wateja wa kiume katika biashara basi ni rahisi kuliwa
Na mimi nilivyoumbwa na wivu nikaona bora nijinyakulie mtu asiyekuwa na kazi yani awe mama wa nyumbani...
Sera hii inaeleza namna ambavyo serikari ya chadema itarudisha madaraka Kwa wanainchi, Kwa kuunda mfumo wa majimbo.
Lakini nimepitia ilani ya CCM ya uchaguzi 2020(kuzipa nguvu serikari za mitaa) Kwa kuteua wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi, na watendaji.
Vyama vyote viwili vinashabiiana...
Habari za wakati huu wakuu,
Ni nusu mwaka sasa tokea kuwa "The Storyteller" aliyestahili tuzo humu jukwaani. Ni muda mrefu sana umepita tokea pale nilipoifahamu na kujiunga na jumuiya, japokuwa mlio wengi mtachungulia kwa profile ili kuona lile neno "joined Nov 2022", JF nimeifahamu kwa zaidi...
Western elites have forgotten the consequences of the Nazis’ “insane ambitions,” Russian President Vladimir Putin said during his Victory Day Parade speech on Red Square in Moscow.
“The globalist elites keep insisting on their exceptionalism; they pit people against each other, split societies...
Dah wazee, kutokuoa ni Bora kuliko kuoa, nimekaa Miaka mingi ya u-bachelor mpaka age ilipoanza kusonga hivi, maisha yangu yote yalikuwa ya furaha isiyo na kifani, sina stress za hovyo hovyo naweza kujiamulia kwenda sehemu yoyote bila stress, mipango yangu Ilikuwa inaenda sawa kidogo nachokipata...
Nikiwa raia na mwananchi wa kawaida mpenda maendeleo, naandika barua hii kwa ajili ya mkoa wa Mwanza, ningependa sana kama Raisi wetu mpendwa mama Samia Suluhu Hassani ukapata ujumbe huu.
Basi hata kama kuna watu wapo karibu naye na wakasoma ujumbe huu basi wamfikishie. Au kama atabahatika...
Kuna kale karaha mtu upo huko katika shughuli zako umevaa nguo bado zipo fresh, Sio unapita sehemu nguo imepauka/rangi zimefifia yani hata mtu akikuangalia mara mbili unajua tu hapa kipengele ni nguo.
Nilinunua jeans 2 na cadet 2, kwa ufinyu wa bajeti yangu nilinunua jeans elf 25 kwa pair na...
Ninamasikitiko sana ingawa Mwanza ni Jiji la pili baada ya Dar lakini barabara ya Kenyata ni mbovu sana kuliko barabara zote kuu za Tanzania.
Serikali inatakiwa iiangalie hii barabara kwa jicho la kipekee, barabara inatakiwa ifumuliwe yote kuanzia Mwanza mjini hadi Shinyanga boarder km 104 na...
#Nigeria imekuwa Nchi ya pili duniani kuidhinisha majaribio ya Chanjo mpya ya #R21Malaria iliyotengenezwa na Wanasayansi kutoka Chuo Kikuu cha Oxford, Uingereza. Majaribio ya kwanza yamefanyika #Ghana.
Mkuu wa Idara ya Kitaifa ya Chakula na Dawa wa Nigeria, #MojisolaAdeyeye, amesema Chanjo hiyo...
Salaam wasalaam.
Ukiwa shabiki wa pili lazima ujue vitu hivi vitatu..
KUSHINDA
KUFUNGWA
DROO
ukishajua hivi kamwe hautaumizwa na matokeo yeyote.
Ndo maana mpira nime ufanya ni starehe kama sterehe zingine.
Siwezi nikaumia kisa mpira.
Siwezi nikagombana kisa mpira.
Daima sitauwamini mchezo...
Inatimia miaka saba leo Jumapili tangu tetemeko kubwa la pili la ardhi kuutikisa mkoa wa Kumamoto unaopatikana kusini magharibi mwa Japani.
Tetemeko hilo lililokuwa lenye kiwango kikubwa zaidi cha saba kwenye kipimo cha matetemeko nchini Japani lilitokea katika mji wa Mashiki Aprili 16 mnamo...
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Deogratius Ndejembi,
amesema serikali imedhamiria kujenga shule za sekondari katika kata zote nchini awamu ya pili.
Alisema shule hizo zitajengwa katika halmashauri zote 184 nchini na kila halmashauri itapata...
Sasa shida ni nini mpaka mnakiuka utaratibu?
The storyteller wenu nimefall in love kwa kabinti kadogo dogo ka QT. Kutokana na mitego kaliyokuwa kakinielekezea, ya kufunga khanga vibaya mbele yangu, kujikwaa huku akitoa mgugumio wa maumivu ya ukuni, vibodi vyake vya v pana, bila kusahau mbususu...
Tofauti kati ya Dual na Second Citizen
Mtu anaweza kuwa na uraia wa nchi tofauti mbili (dual au Second Citizen) au hata zaidi ya hapo kama nchi ambazo ana uraia zinaruhusu mtu kuwa na uraia zaidi ya nchi moja.
Uraia Pacha:
Muhusika anatambuliwa na nchi zote mbili, analipa Kodi na hata kufanya...
Nimepenyezewa za chini ya kapeti.
Zile timu zilizoshika nafasi ya pili kwenye makundi yao zinapishana pale HQ za CAF. Lengo lao eti CAF ichengeshe draw Ili wasikutane na miamba hii ya hapa Bongoland.
Kuna wengine mpaka wakaamua kuwaconsult maofisa na mashabiki wa Ile timu iliyopigwa nje ndani...
Yaani Wanafunzi Wote mmefaulu kwa kupata Division I halafu kwa Upumbavu wako usio hata na Aibu unajiona Wewe ni Bora kuliko Wengine.
Kuna Watu mnaugua Akili sana tu!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.