The arrector pili muscles, also knows as hair erector muscles, are small muscles attached to hair follicles in mammals. Contraction of these muscles causes the hairs to stand on end, known colloquially as goose bumps (piloerection).
Matokeo ya kidato cha pili na darasa la nne yaliyotangazwa jana yameonyesha hali ya ufaulu wa wanafunzi nchini, yakitoa taswira ya maendeleo na changamoto zinazokumba sekta ya elimu. Ingawa baadhi ya shule zimeonyesha mafanikio makubwa, nyingine zimebaki nyuma, zikikabiliwa na changamoto...
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa kidato cha pili kwa mitihani iliyofanyika October/November 2024 ambapo jumla ya Wanafunzi wa Shule 680,574 kati ya 796,825 wenye matokeo ambao ni sawa na 85.41% wamefaulu kuendelea na kidato cha tatu ambapo...
Habari wakuu,
Wazazi mmefikiwa, matokeo ya upimaji wa mitihani kitaifa kwa darasa la nne na kidato cha pili kwa mwaka 2024 yatatangazwa leo kuanzia majira ya saa 5:00 asubuhi na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA).
Majukumu ya January yanaanza, mjiandae punde matokeo yakitoka yatawekwa hapa...
Kwa kuwa sasa ni dhahiri maridhiano yanalipa, yameleta utangamano wa kitaifa.
Nashauri Rais Samia aandae maridhiano awamu ya pili ambayo itagusa mambo makubwa makubwa ya kisiasa, ikiwamo mabadiliko ya sheria mbalimbali. Mchakato huo uhusishe vyama vyote.
Tumpe ushirikiano ilo afanikishe hilo
Mhe Tundu Lissu akisema mambo ya Kamati kuu kwenye media anaitwa mropokaji,
Mjumbe wa Kamati Mhe Ezekiah Wenje akitoa siri hizo hizo anaoneka shujaa
Siku zote Mbwa akipoteza uwezo wa kunusa jueni kabisa anaelekea kufa.
Rais William Ruto ameorodheshwa kama kiongozi wa pili fisadi zaidi duniani kulingana na "Organized Crime and Corruption Reporting Project" (OCCRP). Nafasi ya kwanza imechukuliwa na rais wa 19 wa Syria's Bashar al-Assad kulingana na OCCRP.
"Zaidi ya watu 40,000 walimteua Rais wa Kenya William...
Ehhh wakuu,
Kuna hatari inakuja, kuna mapinduzi yanakuja.
Kwa ambao hamjui maana ya falsafa ya Yanga maarufu kama gusa achia twende kwao ni kwamba,
Mchezaji hatakiwi kukaa na mpira zaidi ya sekunde kumi, yaani ukipewa pasi unatoa pasi unayempa pasi naye anatoa pasi, hakuna ruksa kuleta mbwe...
Nakuja mara ya pili
Mimi ni kijana wa miaka 33
Kazi: Umachinga,Udereva na utalii
Dini : Mkristo
Mkazi : Arusha
Kabila : Mchagga
Elimu : Diploma
Vigezo vya mchumba
Awe zaidi ya 23
Na isiyozidi 29
Dini awe mkristo
Mkazi awe wa Arusha
Asiwe na mtoto tu
Kabila,Elimu na rangi sio issue saana
Ukiwa...
Nilipata maono wakati ule, tarehe 2 ya mwenzi October 2020, niliandika bandiko lililokosa mashiko hapa.
Nimeona tena sehemu kubwa ya maono yale, upande dhaifu wa pili kupata pigo kubwa mapema kabla ya Ulawulo olutsha.
USIKUBALI KILA MTU AKUFUTE MACHOZI WENGINE WANA LESO ZENYE PILI PILIPILI
Kilio chako kikisikika na kila mtu tegemea kutonyamanza kwa sababu kuna watu watatumia kama fursa ya kukuliza zaidi kwa sura ya kukufuta machozi kwa kutumia vitambaa vyenye pili pili.
Kwa haraka utaona wanakuja kukusaidia...
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema hatua zaidi zinatakiwa kuchukuliwa dhidi ya matukio ya Ukatili hasa kwa Watoto na Wanawake na pia Jamii imetakiwa kutoa ushirikiano zaidi kwa Mamlaka zinazohusika kukabiliana na changamoto hiyo.
Hayo yameleza wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Taifa ya...
Baaada ya uchaguzi wa serikali za mitaa , nimesikia viongozi toka taasisi za kidini hususa Wakikemea mchezo mchafu uliochezwa na CCM. Sijawahi kusikia kiongozi wa dini ya kiislam akikemea rafu zilizofanya na CCM kwenye uchaguzi. Kama yupo naomba nijuzwe
Kama kichwa cha habari kinavyo sema kutokana na changamoto za safari za utafutaji na kukaa muda mrefu nje ya familia nahitaji mke wa pili mimi ni muislam nae jitahid kufuata maadili ya kiislam kabila mnyamwezi /msukuma umri sasa miaka 39 makazi ya familia yangu dar mwanamke nnae muhitaji
Awe...
Mwanafunzi anayesoma kidato cha pili mkazi wa kijiji cha Ihela wilayani Makete mkoani Njombe ameelezea tukio la ubakaji alilofanyiwa na mzee wa miaka 62; "alisema nisiogope anafanya haraka na kundoka, nikaondoka kwa hasira na kwenda kukaa kwenye kitanda, nlisahau kufunga mlango, alivyoingia...
Maisha yetu sisi Wakazi wa Vijiji vya Njelela na Ngaranga vilivyopo Kata ya Mundindi, Wilaya Ludewa Mkoani Njombe yapo hatarini kutokana na Mto Ruhuhu kukosa sehemu ya kuvukia.
Inapotokea tunataka kuvuka kwenda kwenye vijiji vya jirani au kama kuna mtu anakuja huku kwetu ni lazima wanaofanya...
Vikundi vya ujasiriamali hatujapokea fedha mpaka Leo tokea tarehe 25-10-2024 mkopo wa asilimia 10 (4-4-2) tatizo nini serikali ya halmashauri haina hizo fedha na kama haina ni kipi kiliwafanya kutuita hiyo tarehe wakati wanajua yakuwa hawana hela
Wametuweka kwenye hali ya sintofahamu nyingi...
Anonymous
Thread
arusha
asilimia
halmashauri
mkopo
mpaka
mwezi
pili
sababu
vikundi
wiki
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.