polepole

Humphrey Polepole is a Tanzanian politician serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary and Member of Parliament appointed by President John Magufuli. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district for five months and earlier Polepole also served as District Commissioner for Musoma District for two months.

View More On Wikipedia.org
  1. Ubunifu, Kanasaidia uchujaji wa polepole mafuta ya nyonyo warm pressed castor oil

    Ipo changamoto ya kuyapata mafuta ya nyonyo yasiyounguzwa katika moto na kuwa meusi. Jamaican black castor oil. Katika kutafuta kupata mafuta halisi ya nyonyo natural yaliyokamuliwa na kuchujwa bila kuunguzwa ndio tukafikia hatua hii. Warm/cold presssed castor oil Kimashine kinaweza kuundwa na...
  2. Ila Polepole kazimishwa vizuri sana

    Kachuo kake uchwara ka uongozi kamepotelea wapi sijui? Wahenga waliosema "Mbwa mwenye mnofu mdomoni hapigi kelele." Waliona mbali sana.
  3. Watanzania wanaosafiri kuelekea Malawi, wapewa Namba ya simu ya dharura

    Toka mwaka 2023 uanze hatujasikia lolote toka kwa Mkuu wa shule ya Uongozi. Hivyo basi, wadau tukiwa bado tunasubiri nondo za shule ya uongozi toka kwa Mheshimiwa Balozi H. Polepole. Ni Bora tuone taarifa mpya kuhusu wanaosafiri kuelekea Malawi, alipo Mkuu wetu wa shule.
  4. B

    Amb. Humphrey Polepole MBC exclusive interview

    23 January 2023 Amb. Humphrey Polepole MBC exclusive interview Mahojiano ya Balozi Humphrey H. Polepole, Balozi wa Tanzania 🇹🇿 Nchini Malawi 🇲🇼 na Shirika la Utangazaji la Malawi (MBC) leo tarehe 22 Januari 2023. Malawi Broadcasting Corporation (MBC) exclusive interview with Ambassador...
  5. F

    Siku Dkt. Bashiru, Prof. Kabudi au Balozi Polepole wakisimama dhidi ya CCM nitaogopa sana lakini Lissu, Lema na Mbowe hawana maajabu

    Hapa nayazungumzia magijwi hodari wa kujenga na kutetea hoja. Ni watu ambao kwa mfanano wamebeba taswira za Baba wa taifa kimaono, Dkt. Magufuli kiutendaji na Dkt. Kikwete kiuzungumzaji. 'Combination' ya watu hao kwa hakika ndio itakayeleta upinzani wa kweli kwa CCM. Siku ambayo hao watatu...
  6. Bank makes you poor

    Banking, Have you ever looked at how much money you give your bank every year? This doesn’t just include the commission you pay your bank for commission and not to mention those dreaded overdraft fees. Think about it, if you average ten overdraft fees a month and each charge is $33, you are...
  7. B

    Kutokuungwa mkono Bashiru, Polepole, Ndugai na wengine, tujitathmini

    Haki ni haki bila kujali maslahi binafsi ya awaye yote. Kwa bahati mbaya tumekuwa wabinafsi tusiotaka kuwa sehemu ya kupigania haki hizo. Tumekuwa kama wapenzi watazamaji wengine wanapojaribu kuuwasha moto. Imekuwa fulani kasema hivi, fulani kasema vile. Sisi tumesema nini fulani anaposema la...
  8. T

    CCM muwekeni Bashiru jirani ana nguvu sana kuliko balozi Polepole

    Naombeni nitoe angalizo kwa CCM na viongozi wake, najua sasa Dkt. Bashiru ataanza kusakamwa na vijana wa Lumumba naomba msiruhusu hilo, ni hatari sana. Ukimya wa Dkt. Bashiru ni heri ya CCM na kuongea kwa Bashiru ni pigo kwa CCM. Dkt. Bashiru ana nguvu sana tena sana ni Mara 100 ya nguvu ya...
  9. Nape Nnauye arudi kwenye uenezi CCM, Shaka bado anaendeleza ukurung'unzu wa Hamphrey Polepole

    Shaka amemezwa au haamini kwamba yeye kazi yake ni uenezi wa chama badala yake amegeuka kuwa msemaji wa Serikali. Anatumia muda mwingi kusifia sifia tu, sifa zikizidi unakuwa utoto na ni ukurung'unzu! Ni hatari kwa sababu Shaka unatakiwa kuionyesha Serikali matobo yanavuja, ili CCM iyafanyie...
  10. N

    Polepole alikuwa sahihi, Unaijua V-8 wewe? Ni sawa na kituo kituo kimoja cha afya

    Yaani kaaa kwa kutulia mtoto mdooooogoooo, mnuka jasho a.k.a MNYONGE, sasa kwa taarifa yako kila mwaka v-8 za billions 600 zinaagizwa, V-8 MOJA NI MILLIONS 500 SAWA NA KITUO CHA AFYA Zinajazwa mafuta full tank, full Ac na hakuna kuzimwa hata kama boss yuko bar na mrembo wa bongo movie wanakula...
  11. Comrade humphrey PolePole akiiwakilisha nchi

    Hebu msikilize hapa chini.
  12. Malawi: Balozi Humphrey Polepole awasilisha hati za utambulisha kwa Rais Lazarus Chakwera

  13. J

    Waziri Nape amnanga Humphrey Polepole, amfagilia Shaka Hamdu Shaka

    Hata mimi kama Jabali la Siasa nakubaliana na Nape Nnauye kuwa Shaka Hamdu Shaka ni kiongozi mnyenyekevu sana. Shaka ana uchungu na Chama chetu cha Mapinduzi kwelikweli. Msikilize hapa Bwana Nape mpaka mwisho.
  14. Vyombo vya habari Malawi vyajiwinda kumsubiri balozi Polepole aanze kusakata sebene, vimuandike, viuze magazeti

    Waandishi wa habari za udaku wa Malawi wanajiwinda kuanza kuandika habari za vituko ambazo balozi wa Tanzania Malawi atakuwa akiweka katika mitandao yake ya kijamii Balozi Polepole, ambaye atakuwa sura ya Tanzania na Rais wa Tanzania, ana tabia ya kushangaza ya kukata mauno akicheza sebene...
  15. Polepole analipwa mshahara kama Balozi, lakini mpaka leo yuko Dodoma. Watanzania Malawi wanateseka

    Hivi ni nani anahudumia watanzania kwa huduma za ubalozi? Nani anafanya kazi za Tanzania huko Malawi? Polepole anazunguka tu humu nchini wakati hapo Malawi hata kwa basi la Sauli au Super Feo anafika
  16. S

    Luhaga Mpina kama kina Bashe, Polepole na wengine, anatafuta uteuzi tu

    Huo ndio ukweli mchungu kwani huwezi kuwa mzalendo na mwenye uchungu na nchi hii halafu ukawa mwana-CCM isipokuwa Nyerere, mtu kama Sokoine na wengine wachache sana. Wengi huko ni wasaka fursa, fursa ambazo huwezi kuzipata ukiwa upinzani na wengine wako katika hicho chama ili wabaki salama...
  17. Makamu wa Rais Mpango amwambia Balozi Polepole kuwa na nidhamu ya matumizi ya fedha

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Phillip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi anayekwenda kuiwakilisha Tanzania Nchini Malawi Mheshimiwa Balozi Humphrey Polepole. Mazungumzo hayo yamefanyika Ofisini kwa Makamu wa Rais mkoani Dodoma. Makamu wa Rais amempongeza...
  18. Usajili wa Umoja Party unakawia kwa sababu Polepole kahamia Malawi?

    sponsor wa chama Yuko ughaibuni, alitumia posho za ubunge kukianzisha, hajamaliza, kahamishwa, ubalozi milioni 5 kwa mwezi
  19. M

    Polepole washamjulia kelele zote ni njaa! Wakati wa jukwaa la Katiba akatupwa kwenye Bunge la Katiba, na Wakati wa kelele za "wahuni" katupwa Ubalozi

    Inaelekea komredi Polepole Washamjulia!! Akiwa na njaa hupiga Sana makelele ya "uzalendo" kisa ni kuwatikisa wakubwa wamkumbuke. Wanaokumbuka makelele ya Polepole kwenye vuguvugu la kudai katiba mpya akiwa moto wa kuotea mbali enzi za jukwaa la katiba. Mzee wa msoga kamchekiii kaona hamna...
  20. B

    Dkt. Bashiru anaweza kuondolewa Bungeni kwenda kulitumikia Taifa sehemu atakayokuwa huru kutumia taaluma yake?

    Dr. Bashiru ni Mbunge wa kuteuliwa ambaye kama walivyo Wabunge 19 wa upinzani ameonyesha kushindwa kabisa kurejesha confidence na taaluma yake ndani ya bunge. Nakubali ndugu yangu huyu alikengeuka akajione next to president but may be hakuwa yeye Bali waliomzunguka. Dr. Bashiru ameshiriki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…