Humphrey Polepole is a Tanzanian politician serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary and Member of Parliament appointed by President John Magufuli. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district for five months and earlier Polepole also served as District Commissioner for Musoma District for two months.
Hii Dunia ni ndogo sana hawa DKT BASHIRU ALLY na POLEPOLE walifikiria watakuwa viongozi wa maisha.
Ilifika wakati walikuwa wanatoa hongo na kununua wapinzani hasa wabunge na madiwani.
Waliahidi vyeo kwa wapinzani wanaokuja CCM bila kujali uwezo wao na nchi kwa ujumla
Walirekodi kwa kudukuwa...
Wapigaji au tuwaite 'wahuni' kama alivyowabatiza Camarada Polepole ni watu wamejijenga CCM kwa maslahi binafsi. Wako na mtandao ambapo kwao CCM ni kama kampuni ya kujinufuasha kufuatana na mtu anavyokua na hisa nyingi.
Tulimsikia yule mwenyekiti wa wazazi mstaafu anayedaiwa kuuza mali za taasi...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan anawaapisha viongozi aliowateua kama ifuatavyo:
WAZIRI KINDAMBA WAZIRI...
Baada ya uteuzi huu wa kuwa Balozi kwa nchi ya Baba Askofu Bw Chakwera ambaye ni Mmagharibi kimtizamo. Je, Polepole atachanja au hatachanja?
Ni mgogoro wa kidiplomasia au ndio demokrasia itashika hatamu?
Tunajua alijua tarajio hili au la namna hii na alijiandaa. Asituangushe amuenzi Magufuli kwa dhati ya Mungu wake. Fedheha ni mbaya akatae.
Polepole huwa hayumbishwi na ufalme wa duniani chini ya jua. Hiari ni hiari tu tugange yajayo.
Ukimtegemea Mungu ufalme wa duniani hauna tija.
Malawi...
Salaam Wakuu,
Natumaini kesho Polepole atasusia Kuapishwa. Sababu alisema ubunge ukiisha hagombei tena. Pia alisema ana misimamo yake haiyumbishwi wala hababaishwi na mtu yoyote.
Polepole ana bahati. Kakutana na rais Samia ana huruma. Kampeleka karibu hapo Malawi ikitaka kusalimia atapanda...
POLEPOLE KUWA BALOZI NI PROMOTION LAKINI........
Na Elius Ndabila
0768239284
Leo Mhe Rais amemteua Mhe Humphrey Polepole kwenda kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi. Ikumbukwe kuwa Mhe Polepole Kwa siku za hivi karibuni alikuwa mkosoaji mkubwa wa serikali ya awamu ya sita Kwa alichokiita...
Rais Samia Suluhu amemteua Humphrey Polepole kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi.
Sambamba na hilo Rais Samia Suluhu amemteua Shamsi Vuai Nahodha kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Pia Rais Samia Suluhu amemteua Waziri Kindamba kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe.
Kindamba...
Ushawahi jiuliza ni kwa nini kuna matajiri na masikini? Utofauti huo upo katika akili zetu (mindset), na pia katika mitazamo yetu (attitudes), japo kuna sababu nyingine nyingi.
Naandika haya baada ya kufanikiwa katika Nyanja ya KIELIMU, KIJAMII na KIUCHUMI kwa kuweza kuifanya akili yangu iwaze...
Great thinkers,
Tangu kufariki kwa Dkt Magufuli, na hatimaye Mh. Polepole kumaliza kipindi chake cha ukatibu mwenezi, yaani unaona kabisa Polepole alivyopwaya kama mwana siasa. Polepole ili aishi lazima awe mwanaharakati, yaani yeye akipiga maneno ndiyo kula yake hiyo, yaani hana tofauti na...
Nukuu za aliyoyazungumza Mbunge wa Jimbo la Mvumi, Livingstone Lusinde, leo Jumatatu Februari 7, 2022:
"Sikiri kuwa, kuna makundi yanayoutaka urais kwa maana wanasubiri ratiba kugombea, bali kuna makundi haramu yanayotaka kugombea urais 2025 ambao wanaanza mapema kabla ya wakati, mimi kundi...
Bwana Humphrey Polepole, sasa tunataka kusikia maoni yako kuhusu huu ukopaji wa mikopo kutoka nje huku Zanzibar ikishirikishwa na kupata mgao.
Pamoja na mambo mengine,ulilaumu na kukosoa mawaziri kutosema lolote kuhusu kauli ya Mama kula kwa urefu wa kamba yake, na hapo hapo kumpiga kijembe...
KWA NINI POLEPOLE HATA AKIELEWEKA HAELEWEKI?
Na Elius Ndabila
0768239284
Mhe Polepole anazungumza sana na watu wanamuelewa ila haeleweki. Mhe Polepole haeleweki kwa kuwa aliyoyatetea akiwa kwenye Vieiti (V8) ndiyo yale anayoyapinga baada ya kuondolewa V8. Hivyo anaonyesha ni mtu ambaye akipewa...
'Mwanangu usiwe na matarijio makubwa utakayoshindwa kuyatimiza na kuumuza moyo wako', ni nukuu ya maneno kutoka kwa wazazi wangu wakinisihi juu ya jambo. Ingali kauli hiyo ilitolea zamani sana lakini bado naikumbuka mpaka kesho I we usingizin au penginepo. Kutokana na usia huo naweza kusema Mimi...
"Wapo watu wanakula urefu wa Kamba na wanavimbiwa, hivi hawa watu wana uhalali wa kutuambia sisi tuishi maisha ya uadilifu? na mimi nitakuwa nauliza na wewe unakula kwa urefu wa kamba? kama ndio basi usiongee na mimi". Polepole
"Mimi nilitegemea kuona kuna Mawaziri watajitokeza na kulaani ile...
Mlipotaka muwe na Bunge la WanaCCM kwa asilimia tisini na nane hamkujua umuhimu wa wabunge wa upinzani?
Hili bunge lingekuwa hata na wabunge wa upinzani 40% hii dharau ya WanaCCM kulifanya bunge kibogoyo isingekuwepo.
Mliharibu uchaguzi na kumbe mlikuwa mnaharibu maisha ya Watanzania...
Yericko Nyerere anasema Nape Nnauye ndio Kiongozi wa mwisho kijana kuongoza CCM ambaye chama kilimuandaa hawa UVCCM wengine wanaoongoza wameokotwa okotwa tu mitaani hawana nidhamu wala heshima.
Yericko anasema kwa mfano Polepole alikuwa ni Kiongozi mkubwa sana ndani ya chama na anajua siri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.