Sawa tutawagonganisha vichwa vyao hapo baadaye.Michezo hiyo.
Wanajua Watanzania mnataka nini. Hivyo wanamuandaa huyo, alafu Nchemba naye anapita mulemule, alafu kule kuna Makonda
.
Ni mind game tuu ila system no ileile
Sawa tutawagonganisha vichwa vyao hapo baadaye.
Nyie hamna akili! Mnadhani huyo Nchimbi kajiweka hapo kwenye iyo nafasi? au watu wamekurupuka tu kumuwekq? kikubwa labda mseme mnaangalia dini yenuNi mwanamapinduzi mtulivu, hana papara. Tunaomjua kwa undani tunajua tunasema nini. Mheshimiwa endelea hivyo hivyo unaeleweka vizuri sana na watanzania, japo patawaka moto lakini ushindi upo.
DuuuhNyie hamna akili! Mnadhani huyo Nchimbi kajiweka hapo kwenye iyo nafasi? au watu wamekurupuka tu kumuwekq? kikubwa labda mseme mnaangalia dini yenu
Dini gani? Tunajua kinachoendelea.Nyie hamna akili! Mnadhani huyo Nchimbi kajiweka hapo kwenye iyo nafasi? au watu wamekurupuka tu kumuwekq? kikubwa labda mseme mnaangalia dini yenu
Huna ujualo wewe! Unadhani Nchimbi kazuka tu from nowhere? Ni mtu wa system na Mtu wa chama haswa...hawezi kusaliti Nchi kisa udini na maslai ya watu wachacheDini gani? Tunajua kinachoendelea.