Tuomba mamlaka zitoke ziseme Polepole yuko wapi ? Acheni Utani kwenye Uhai wa watu

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,971
Reaction score
18,641
Sisi wana CCM wazalendo bado tunataka mamlaka zitoke ziseme Polepole yuko wapi tofauti na hapo ayo maridhiano hayapo bila kujua Polepole yuko wapi kama alifanya kosa kisheria afikishwe mahakamani. Unataka kwenda kwenye maridhiano mtu balozi amepotea kama kuku haiwezekani tuache unafiki wana CCM tutoke tuulize Polepole yuko wapi?
 
Mamlaka zitoke ziseme balozi Polepole yuko wapi wana CCM mmekua wanafiki wakupitiliza katibu mwenezi balozi Polepole anapotea kama kuku tuanze na Maridhiano ya ndani ya Chama kwa kutueleza Polepole yuko wapi ndo twende kwenye maridhiano mengine tuache unafiki
 
Sisi wana CCM wazalendo bado tunataka mamlaka zitoke ziseme Polepole yuko wapi tofauti na hapo ayo maridhiano hayapo bila kujua Polepole yuko wapi kama alifanya kosa kisheria afikishwe mahakamani. Unataka kwenda kwenye maridhiano mtu balozi amepotea kama kuku haiwezekani tuache unafiki wana CCM tutoke tuulize Polepole yuko wapi?
Na hao wengine VP kwani ni pole pole tuu, soka yukwapi, azori gwanda yukwapi Ben sanane yukwapi
 
Sisi wana CCM wazalendo bado tunataka mamlaka zitoke ziseme Polepole yuko wapi tofauti na hapo ayo maridhiano hayapo bila kujua Polepole yuko wapi kama alifanya kosa kisheria afikishwe mahakamani. Unataka kwenda kwenye maridhiano mtu balozi amepotea kama kuku haiwezekani tuache unafiki wana CCM tutoke tuulize Polepole yuko wapi?
Unafiki huu ndiyo ule ule WA chaguzi chini ya ccm
 
Kwa sasa hamna Utekaji tena nadhani Serikali ya Ruto imetoa Somo jinsi ya kukamata Wahuni. Hii Dhana ya Utekaji ilikuwa ya Kishamba bahati Mbaya Samia ndio anatupiwa Pira tunasahau The Great Founder of this was the Great Daddy who passed away & now may be is torturing his evilness.
 
Kwa sasa tunaitaji Polepole tujue yuko wapi unaenda kwenye Maridhiano gani wakati Polepole hajulikani yuko wapi maridhiano yaanzie CCM warudishe kwanza Polepole
 
Si vizuri watu kutekwa, lakini huyo Polepole acha atekwe tu. Yeye alishiriki moja kwa moja ama kufumbia macho utekaji wakati akiwa kwenye mlo chini ya utawala wa Magufuli. Ngoja avune matunda ya mti alioshiriki kuumwagia maji.

Wanaccm nyie ni wanafiki wa wazi, tulipokuwa tunapiga kelele kuhusu tabia mbaya ya Magufuli ya utekaji, mlisema mnajali maendeleo, tabia ikaota mizizi, sasa karma imewafikia mnajiliza. Tulieni na nyie yawakute mjue uovu haulipi
 
Uchungu, mateso na AIBU, tumefika vipi hapa!?

Lile jina "Kisiwa cha amani" ndio lishaenda, huko nje ule "uspesho" wetu umeenda zake, kwishney!
 
Unapofanya siasa za kufa na kupona fanya hadharani ili unapokamatwa watu wawe na ushahidi!
HATUKUJUA POLEPOLE YUKO WAPI MUDA WOTE ALIPOKUWA ANASHUSHA 'KIPONDO' NA KWAHIYO NI VIGUMU PIA KUWA NA UHAKIKA SASA YUPO WAPI!
 
Back
Top Bottom