Watu kama Lissu, Polepole na wengineo, ni wateule tu ili watanganyika mkombolewe kupitia mateso na hata vifo vyao

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,828
Reaction score
165,667
Usipokuwa na uwezo wa kufanya reasoning na kushndwa kuelewa historia, unaweza usielewe kuwa watu kama Lissu, Polepole na wengineo, ujasiri na uthubutu walio nao ni kazi ya Nature ( Mungu) ili kupitia shida na mateso yao au hata vifo vyao, mlio wengi mkombolewe.

Hata wale waliouwawa Oktoba 29, ni kazi ya Nature ( Mungu) ili kupitia vifo vyao au ulemavu wao, wengi wakombolewe.

Msifikiri haya mambo yaliishia kwa Yesu tu, bali tambueni ni endelevu.

Kwahiyo, acheni kumdhihaki Polepole, tambueni alichaguliwa kupitia aliyopitia ili wewe, mtoto wako na mjukuu wako na Taifa lako likombolewe.

Tuko kwenye mchakato na mchakato bado unaendelea na huenda wako wengine wataendelea kupitia magumu kabla ya ukombozi kamili kupatikana.

Msisome historia kama hadithi na msiwe watu wa imani kama wanyama wasio na utashi.

Ukombozi hauko mbali.

NB: Walioko Magogoni wana wakati mgumu kuliko Lissu alie nyuma ya kuta za gereza au Polepole huko aliko.
 
Pole pole Hana uteule wowote. Alihusika kwa kiasi kikubwa kwa udhalimu katika utawala wa mwendazake, kauli za kebehi na kujiona mwamba, kuminya Demokrasia n.k akili ilimrudi baada ya Mwamba kuondoka na kujidai anataka mabadiliko. Baada ya kusogezwa pembeni kwenye ulaji, Mungu amuweke mahala anapostahili, in short aliweka maslahi yake binafsi kwa kigezo cha kujidai anatetea Watanzania. Lissu ni mwanaharakati, asili yake ni Anti Government tangu mwanzo, ndiyo maana alikuwa tayari kuungana mkono ja
 
Nikwaambie tu, kwa alichofanya Polepole, leo mtu akitaka kubadili katiba aendelee kukaa madarakani, ni lazima atajifikiria mara mbili mbili.

Polepole katoa fundisho kubwa sana kwa watu wanaokiuka taratibu.
 
Nikwaambie tu, kwa alichofanya Polepole, leo mtu akitaka kubadili katiba aendelee kukaa madarakani, ni lazima atajifikiria mara mbili mbili.
Pole pole huyo huyo enzi za jiwe ndo alikuwa kwenye kampeni ya kushinikiza Magufuli abadili katiba na aendelee kuongoza kwa miaka 7. Ilikuwa kampeni ya chini kwa chini inayoanza mpaka akapewa ubunge wa kuteuliwa katika awamu ya pili ya uongozi wa Mwendazake. Mungu si athumani, akamchukua Hayati mambo yakiwa
 
Pole pole Hana uteule wowote. Alihusika kwa kiasi kikubwa kwa udhalimu katika utawala wa mwendazake, kauli za kebehi na kujiona mwamba, kuminya Demokrasia n.k akili ilimrudi baada ya Mwamba kuondoka na kujidai anataka mabadiliko. Baada ya kusogezwa pembeni kwenye ulaji, Mungu amuweke mahala anapostahili, in short aliweka maslahi yake binafsi kwa kigezo cha kujidai anatetea Watanzania. Lissu ni mwanaharakati, asili yake ni Anti Government tangu mwanzo, ndiyo maana alikuwa tayari kuungana mkono ja
Mtu aliye acha ubalozi kwa hiyari yake unasemaje alisogezwa pembeni kwenye ulaji?
Una chuki binafsi tu na Polepole.
Kwenye harakati zaa kudai haki na mabadiliko ya kweli yeye amefanya makubwa kuliko wewe.
Tuambie umefanya nini kwa utambulisho wako halisi siyo jina bandia la JF?
Tuoneshe au tuambie impact ya ulichofanya mwaka wowote kisha tupime na ya Polepole kuelekea Oct 29, 2025.
 
Pole pole huyo huyo enzi za jiwe ndo alikuwa kwenye kampeni ya kushinikiza Magufuli abadili katiba na aendelee kuongoza kwa miaka 7. Ilikuwa kampeni ya chini kwa chini inayoanza mpaka akapewa ubunge wa kuteuliwa katika awamu ya pili ya uongozi wa Mwendazake. Mungu si athumani, akamchukua Hayati mambo yakiwa
Mungu (Nature) humtumia yoyote yule anaejua ataifanya vizuri kazi aliyompa.
 
Pole pole huyo huyo enzi za jiwe ndo alikuwa kwenye kampeni ya kushinikiza Magufuli abadili katiba na aendelee kuongoza kwa miaka 7. I
Hili halina uthibitisho, huenda lilitengenezwa na wahuni wa mtandao waliokuwa wanataka wamuondoe kwa kumchafua Magu.
Polepole ametoa ushuhuda hili halikuwa nia ya Magu kujiongezea muda.
Ukitaka kuona kweli haikuwa mpango wa Magu, alihakikisha hawarudi bungeni mwaka 2020 wabunge wote walioshabikia au kupendekeza hili suala. Mfano Mkamia na Aeshi wa Nkansi sijui Sumbawanga.

Ukweli hujitenga na uongo. Magu hakuwazuia Lissu na wagombea wa vyama vingine wenye nguvu ya ushindani kwake wasigombee 2020.
Aliwaacha washindane naye hata kama inawezekana waliiibiwa kura.
 
Pole pole huyo huyo enzi za jiwe ndo alikuwa kwenye kampeni ya kushinikiza Magufuli abadili katiba na aendelee kuongoza kwa miaka 7. Ilikuwa kampeni ya chini kwa chini inayoanza mpaka akapewa ubunge wa kuteuliwa katika awamu ya pili ya uongozi wa Mwendazake. Mungu si athumani, akamchukua Hayati mambo yakiwa
Ndiyo ni yeye, hata wokovu ulishuka kwa Lazaro mtoza ushuru, rushwa na wizi kwake ilikuwa ni jambo la kawaida, lakini baada ya kuona hayo hayana faida, aliokoka, Maisha ya Lazaro yanatoa fundisho kubwa kwa wengi hasa watenda maovu

Hata Samia ananafasi bado kabla jua halijazama kabisa
 
Hili halina uthibitisho, huenda lilitengenezwa na wahuni wa mtandao waliokuwa wanataka wamuondoe kwa kumchafua Magu.
Polepole ametoa ushuhuda hili halikuwa nia ya Magu kujiongezea muda.
Ukitaka kuona kweli haikuwa mpango wa Magu, alihakikisha hawarudi bungeni mwaka 2020 wabunge wote walioshabikia au kupendekeza hili suala. Mfano Mkamia na Aeshi wa Nkansi sijui Sumbawanga.

Ukweli hujitenga na uongo. Magu hakuwazuia Lissu na wagombea wa vyama vingine wenye nguvu ya ushindani kwake wasigombee 2020.
Aliwaacha washindane naye hata kama inawezekana waliiibiwa kura.
Ila magu huyo huyo ndiye alijaribu kuutoa uhai wa Tundu lissu, hata hivi vitendo vya utekaji vimeanza kushika hatamu kipindi cha Magu, tulishihudia miili kuokotwa kwenye viroba maeneo ya Coco beach.
 
Mtu aliye acha ubalozi kwa hiyari yake unasemaje alisogezwa pembeni kwenye ulaji?
Una chuki binafsi tu na Polepole.
Kwenye harakati zaa kudai haki na mabadiliko ya kweli yeye amefanya makubwa kuliko wewe.
Tuambie umefanya nini kwa utambukisho wako halisi siyo jina bandia la JF?
Tuoneshe au tuambie impact ya ulichofanya mwaka wowote kisha tupime na ya Polepole kuelekea Oct 29, 2025.
Sipo kwenye platform hiyo ya Polepole lakini kwa nafasi yangu nimechangia mabadiliko kwa nafasi yangu.
 
Pole pole Hana uteule wowote. Alihusika kwa kiasi kikubwa kwa udhalimu katika utawala wa mwendazake, kauli za kebehi na kujiona mwamba, kuminya Demokrasia n.k akili ilimrudi baada ya Mwamba kuondoka na kujidai anataka mabadiliko. Baada ya kusogezwa pembeni kwenye ulaji, Mungu amuweke mahala anapostahili, in short aliweka maslahi yake binafsi kwa kigezo cha kujidai anatetea Watanzania. Lissu ni mwanaharakati, asili yake ni Anti Government tangu mwanzo, ndiyo maana alikuwa tayari kuungana mkono ja
Polepole alikiri makosa na kuomba radhi kwa umma.
 
Ndiyo ni yeye, hata wokovu ulishuka kwa Lazaro mtoza ushuru, rushwa na wizi kwake ilikuwa ni jambo la kawaida, lakini baada ya kuona hayo hayana faida, aliokoka, Maisha ya Lazaro yanatoa fundisho kubwa kwa wengi hasa watenda maovu

Hata Samia ananafasi bado kabla jua halijazama kabisa
Sawa sawa.
Namuongezea mfano wa Mtume Paulo au Saul.
Alikuwa muuwaji wa wafuasi wa Yesu Kristo tena mtu katili mno. Aliuona ukweli akabadilika akaeneza habari njema.

Cc: Bedson jr
 
Usipokuwa na uwezo wa kufanya reasoning na kushndwa kuelewa historia, unaweza usielewe kuwa watu kama Lissu, Polepole na wengineo, ujasiri na uthubutu walio nao ni kazi ya Nature ( Mungu) ili kupitia shida na mateso yao au hata vifo vyao, mlio wengi mkombolewe.

Hata wale waliouwawa Oktoba 29, ni kazi ya Nature ( Mungu) ili kupitia vifo vyao au ulemavu wao, wengi wakombolewe.

Msifikiri haya mambo yaliishia kwa Yesu tu, bali tambueni ni endelevu.

Kwahiyo, acheni kumdhihaki Polepole, tambueni alichaguliwa kupitia aliyopitia ili wewe, mtoto wako na mjukuu wako na Taifa lako likombolewe.

Tuko kwenye mchakato na mchakato bado unaendelea na huenda wako wengine wataendelea kupitia magumu kabla ya ukombozi kamili kupatikana.

Msisome historia kama hadithi na msiwe watu wa imani kama wanyama wasio na utashi.

Ukombozi hauko mbali.

NB: Walioko Magogoni wana wakati mgumu kuliko Lissu alie nyuma ya kuta za gereza au Polepole huko aliko.
Pole pole mtoe hapo
 
Usipokuwa na uwezo wa kufanya reasoning na kushndwa kuelewa historia, unaweza usielewe kuwa watu kama Lissu, Polepole na wengineo, ujasiri na uthubutu walio nao ni kazi ya Nature ( Mungu) ili kupitia shida na mateso yao au hata vifo vyao, mlio wengi mkombolewe.

Hata wale waliouwawa Oktoba 29, ni kazi ya Nature ( Mungu) ili kupitia vifo vyao au ulemavu wao, wengi wakombolewe.

Ukombozi hauko mbali.
Naunga mkono hoja,“ni kwa kupigwa kwako, sisi tuliponywa”

P
 
Mtu yeyote akikuahidi chochote kizuri baada ya wewe kupoteza maisha, mf. Utakufa shujaa, utakumbukwa, familia yako itaishi vizuri, nk, amka ukimbie mbio kali sana.
 
Back
Top Bottom