Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, John Heche akizungumza katika Mahojiano na Bongo FM leo Juni 10, 2026.
"Hii nchi haina amani bwana. Nchi ambayo ina amani polisi wako hapo mtaani na vimulimuli? Amani inalindwa na mtutu wa bunduki? Amani inajilinda yenyewe kwa...