Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, John Heche akizungumza katika Mahojiano na Bongo FM leo Juni 10, 2026.
"Hii nchi haina amani bwana. Nchi ambayo ina amani polisi wako hapo mtaani na vimulimuli? Amani inalindwa na mtutu wa bunduki? Amani inajilinda yenyewe kwa haki kutolewa. Yaani hii ni... is a police state hii nchi. Imebadilika tena majuzi imekuwa police state, ndio maana kwenye kila junction, ukienda pale Morocco utakuta gari la polisi lina kimulimuli. Hayo mambo yalikuwa yanaonekana Sudan. Umewahi kuyaona hapa kipindi cha Mwalimu? Polisi wako kwenye kila junction ya nchi na mabunduki?"