polisi hali mbaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 TLS, LHRC mlikwama wapi kujiandaa mapema wananchi wapate taarifa kesi ya Lissu wakati tulitegemea figisu zitokee? Bado mnaishi mwaka 47!

    Wakuu, TLS, LHRC msituambie hamkutegemea haya kutokea ili mkajipanga na plan B, C, D hata Z ikiwezekana? Yaani mlitegemea serikali itakaa tu kimya ili mambo yaende vizuri na taarifa zipatikane bila shida? Mkaona account za mitandao ya kijamii za CHADEMA zimedukuliwa mkatulia kusubiri na leo...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godbless Lema: Polisi mna hali mbaya, mshahara wa Polisi wa miaka 50, sawa na posho na mshahara wa Mbunge miezi 6

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godbless Lema amewataka polisi kushiriki harakati za kudai haki na kukataa kutekeleza amri au maagizo yasiyo ya haki wanayopewa na viongozi wao. Kwa upande wa John Heche: Posho siku moja tu Bungeni tulikuwa tunalipwa laki nne...
Back
Top Bottom