polisi kufyatua risasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuna Ushahidi wa polisi kufyatua risasi ovyo kwa raia, baada ya hapo wakatuma meseji tusisambaze video hizo eti tunatweza utu wao na tunavunja sheria

    Kuna Ushahidi wa polisi kufyatua risasi ovyo kwa raia baada ya hapo wakatuma meseji tusisambaze video hizo eti tunatweza utu wao na tunavunja sheria. Hivi hawa watu wana akili timamu kweli ? Wengine walichapa viboko watu wasio na hatia wanaodai haki zao. Hizi ni dharau kubwa sana halafu wenyewe...
  2. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila Odinga amkemea vikali Waziri Murkomen kuhusu kauli ya polisi kufyatua risasi kwa raia, atoa wito wa mazungumzo ya kitaifa

    Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga, amelalamikia vikali kauli ya Waziri wa Usalama wa Ndani Kipchumba Murkomen, aliyewataka polisi kuwafyatulia risasi raia watakaokaribia vituo vya polisi wakati wa maandamano Akizungumza baada ya matukio ya machafuko yaliyojitokeza Juni 25, Odinga...
Back
Top Bottom