Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga, amelalamikia vikali kauli ya Waziri wa Usalama wa Ndani Kipchumba Murkomen, aliyewataka polisi kuwafyatulia risasi raia watakaokaribia vituo vya polisi wakati wa maandamano
Akizungumza baada ya matukio ya machafuko yaliyojitokeza Juni 25, Odinga...