Wakuu,
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limekanusha taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii inayosema “WEZI WAIBA BASI LA POLISI MKOANI MBEYA” na kuiomba Jamii kupuuza taarifa hiyo kwani hakuna tukio kama hilo Mkoani Mbeya.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limesema halina basi lenye namba...