Polisi Mbeya wakanusha kuibiwa basi, wasema hawana basi lenye namba linalofanana na lililosambazwa mtandaoni

Polisi Mbeya wakanusha kuibiwa basi, wasema hawana basi lenye namba linalofanana na lililosambazwa mtandaoni

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
3,054
Reaction score
8,449
Wakuu,

1742308394033.png

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limekanusha taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii inayosema “WEZI WAIBA BASI LA POLISI MKOANI MBEYA” na kuiomba Jamii kupuuza taarifa hiyo kwani hakuna tukio kama hilo Mkoani Mbeya.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limesema halina basi lenye namba PT 4037 kama zinavyosomeka kwenye picha mnato iliyoambatishwa kwenye taarifa hiyo.

“Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea na uchunguzi wa kuwabaini waliohusika na utoaji wa taarifa hiyo ya uzushi na kuleta taharuki kwa jamii ili hatua stahiki zichukuliwe dhidi yao”
 
Back
Top Bottom