polisi osterbay

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tito Magoti: John Heche anashikiliwa na Polisi Osterbay anahojiwa kwa UGAIDI

    Bado tunaomboleza. Na tunatafuta miili ya ndugu zetu waliouwawa kwa risasi. Illegitimate President yuko ofisini siku ya pili. Hajajutia mauwaji aliyoyafanya. Wala kuomba msamaha. Au kuwafariji wafiwa na Taifa. Ameona ampe kesi ya UGAIDI John Heche. Heche ameshikiliwa kwa siku 11 kwa tuhuma za...
  2. JamiiForums Tanzania KERO Oysterbay Police Kitengo cha Leseni Kueni na kauli nzuri kwa wateja

    Osterbay polisi upande wa uhakiki wa leseni na wale vehicles wanaopitisha wamejikuta miungu watu hawasikilizi wabongo zaidi ya wachina na wahindi wana kauli mbaya na lugha chafu kwa wabongo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…