KERO Oysterbay Police Kitengo cha Leseni Kueni na kauli nzuri kwa wateja

KERO Oysterbay Police Kitengo cha Leseni Kueni na kauli nzuri kwa wateja

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,155
Reaction score
2,704
Osterbay polisi upande wa uhakiki wa leseni na wale vehicles wanaopitisha wamejikuta miungu watu hawasikilizi wabongo zaidi ya wachina na wahindi wana kauli mbaya na lugha chafu kwa wabongo
 
Taasisi yoyote ile ya kiserikali inayohusu Customer service lazima iwe na huduma za kipuuzi
 
Mpk namaliza kusoma hapa cjaona kauli mbaya kwa wabongo.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Ostabey unaweza ukaona magari mengi yamepaki ukajua watu wa meletakesi au kuna kesi ya magri kumbe yao.
 
Osterbay polisi upande wa uhakiki wa leseni na wale vehicles wanaopitisha wamejikuta miungu watu hawasikilizi wabongo zaidi ya wachina na wahindi wana kauli mbaya na lugha chafu kwa wabongo
tatizo la customer care linazidi kuwa gumu tanzania, especialy serikalini.
Hao wa kwenye hivyo vyombo wamezoea kufokea watu, kila mtu kwao ni muhalifu is why wanajibu hovyo, kuwe na idara maalum ya customer care
 
Back
Top Bottom