Jana May 20 ulitokea mshtuko baada ya akaunti nyingi za mitandao ya kijamii kudukuliwa kwa pamoja idadi kubwa ikiwa taasisi za Serikali. Watu hawa wametumia kurasa za mtandao wa X na youtube.
1. Mitandao hii miwili ya X na youtube inarusu third party app kustream. Mfano nataka kuweka tukio...
Wakuu,
Wadukuzi wameonesha ni jinsi gani kuna matobo kwenye mifumo ya ulinzi nchini. Mpaka page ya polisi inadukuliwa, baada ya kuangalia wamewezeje kufikia mifumo yao eti wanamtafuta mpotoshaji!
Na haya hayatakoma hapa maana serikali huwa haitibu mzizi wa tatizo, inakwenda kuvamiwa matawi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.