Kuna kikundi cha Watu wanapiga watu risasi Uraiani. Hata kama haupo kwemye maandamano
Wanatumia pikipiki, Bajaji, Magaari madpgo kama IST nk.
Wanakuja kwako wanapiga risasi. Au risasi inapita dirishani. Hata wakikukuta dukani wanakupiga risasi.
Mara nyingi wanatumia code ya rangi nyeupe...