GE2025 Day 3: Kuna kikundi cha Watu wanapiga watu risasi Uraiani. Hata kama haupo kwenye maandamano!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Kuna kikundi cha Watu wanapiga watu risasi Uraiani. Hata kama haupo kwemye maandamano

Wanatumia pikipiki, Bajaji, Magaari madpgo kama IST nk.

Wanakuja kwako wanapiga risasi. Au risasi inapita dirishani. Hata wakikukuta dukani wanakupiga risasi.

Mara nyingi wanatumia code ya rangi nyeupe.. Yaani anaweza kuwa amevaa nguo nyeusi lakini cofia nyeupe, au anavaa kitu cheupe mkononi kama bangiri.

Si Jeshi la polisi

Wameua Kimara, Bunju, Goba, Manzese...

Tusaidiane kuwadhibiti.
 
Shida ya hao siyo kuwaua , hao wanapaswa wakamatwe wakiwa hai , tujue wametumwa na nani ,wanalipwaje na kwa utaratibu gani , ndiyo maana kwenye baadhi ya maeneo kuna helicopter,hilo nimoja ya jukumu lake .

Mambo ni mengi tuwe tu watulivu ,Mungu wetu aliye mkuu hata acha kusikia kilimo cha watoto wake .
 
Kuna kikundi cha Watu wanapiga watu risasi Uraiani. Hata kama haupo kwemye maandamano

Wanatumia pikipiki, Bajaji, Magaari madpgo kama IST nk.

Wanakuja kwako wanapiga risasi. Au risasi inapita dirishani. Hata wakikukuta dukani wanakupiga risasi.

Mara nyingi wanatumia code ya rangi nyeupe.. Yaani anaweza kuwa amevaa nguo nyeusi lakini cofia nyeupe, au anavaa kitu cheupe mkononi kama bangiri.

Si Jeshi la polisi

Wameua Kimara, Bunju, Goba, Manzese...

Tusaidiane kuwawinda. Dawa ya moto ni moto
Huyu atakuwa Mafwele na kikundi chake
 
Sio kwenye maandamano. Yaani wanaenda sehemu isiyo na maandamano kuua watu. Yaani si swala la maandamano. Wwqnakuja uraiani kuua..
Je, hao wanaolengwa kuuliwa wana sifa zipi zinazowaweka kwenye kundi la kuwindwa?
Ni wanasiasa wa upinzani; au ni watu wa aina gani?
 
Hawana sifa yoyote. Inadaiwa wanaua ili kutisha watu wasitoke ndani. Sababu wakikukuta hata unaongea na simu nje ya nyumba tako wanakutwanga risasi. Nia kutia watu uoga wasitoke ndani. Hata msemaji wa Serikali aliagiza watu wafanyie kazi nyumbani. Je, alijua kuhusu hawa watu? Wameua watu wengi.

Wanaokufa wengi ni mtaani kuliko walio kwenye maandamano
 
Njia ya kustop hii ni watu wote tutoke ja kusimamisha nchi. Ukikaa ndani kwako watakuja watakuua tu. Tokeni tusimamishe nchi tumuondoe huyu gaidi kwa nguvu moja
 
Zipo pia taarifa kwamba wahalifu na majambazi wengi wameona huu ndo muda muafaka wa kufanya uhalifu wa kuua na kupora mali.

Huu ni muda ambao walikuwa wakiusubiri kwa hamu kubwa na ni kama wamepewa zawadi.

Nchi ipo kwenye hatari na cha kusikitisha ni kwamba watanzania hawa wanaua watanzania wenzao.
 
Kundi Hilo limeletwa tz siku nyingi tokea ijumaa
Na cha kushangaza kimeua watanzania huku JwTz wakiwa wanaangalia tu

Britanicca

Kambi za JWTZ ni kama zilikua zimegawanyika, Kila kambi na maelejezo yake kuna ambao walikua wan shoot to kill any one anae ua raia
 
Zipo pia taarifa kwamba wahalifu na majambazi wengi wameona huu ndo muda muafaka wa kufanya uhalifu wa kuua na kupora mali.

Huu ni muda ambao walikuwa wakiusubiri kwa hamu kubwa na ni kama wamepewa zawadi.

Nchi ipo kwenye hatari na cha kusikitisha ni kwamba watanzania hawa wanaua watanzania wenzao.

Hao walikua hawauwi Mkuu.
Walio kua wana shoot to kill, walikua hata hawageuki nyuma 😭
 
Hawana sifa yoyote. Inadaiwa wanaua ili kutisha watu wasitoke ndani. Sababu wakikukuta hata unaongea na simu nje ya nyumba tako wanakutwanga risasi. Nia kutia watu uoga wasitoke ndani. Hata msemaji wa Serikali aliagiza watu wafanyie kazi nyumbani. Je, alijua kuhusu hawa watu? Wameua watu wengi.

Wanaokufa wengi ni mtaani kuliko walio kwenye maandamano

Walikua wanaogopa wa kwenye maandamano. Walikua wanavizia watembeaji na wale wanao kaa vikundi barabarani kushangaa
 
Kundi Hilo limeletwa tz siku nyingi tokea ijumaa
Na cha kushangaza kimeua watanzania huku JwTz wakiwa wanaangalia tu

Britanicca
Hicho kitu kinauma sana sanaa...nilikua siogopi risasi...wanatushambulia risasi tukiwa armless.

Wanaturushia risasi tukiwa mtaani..watu watu wameuwawa....iundwe tume iseme watu wangapi wameuwawa bila hatia.
 
Back
Top Bottom