Inauma na kusikitisha sana pale ninapomuona mwanamke tena mke wa mtu akinywa pombe mbaya zaidi akishinda Bar au night clubs akinywa. Ukiona hivyo my bro jua tu, unachapiwa, sehemu hizo ni mbaya sana, nikama unachezea shilling kwenye tundu la choo. Hamna mjanja kwenye pombe, pombe haina mwenyewe...