porn

  1. Beira Boy

    Nyinyi wezangu mkitenda dhambi huwa hamuadhibiwi? Video za Balthazar zimefanya niadhibiwe usiku kucha

    BWANA awe nanyi wana wa MUNGU Kwanza naomba kumshukuru MWENYEZI MUNGU aliyetuumba Sii tu kwamba aliyetuumba bali ameenda mbali zaid hata akamtoa mwanae wa pekee ili tupate kupona Kuna nyakati niliishi kwenye zambi sana lakini MUNGU ni MWAMINIFU alinitoa huko akanipa neema au baraka au zawadi...
  2. KUKU_UFUGAJI

    Twitter imegeuka kiwanda cha video za ngono (porn)

    Kama kicha cha Habari kinavyo jieleza, nina account Twitter na zamani nilikuwa napenda sana kutumia huu mtandao yaani kuliko instagram ila kwa sasa naona yamenishinda. Kwenye account yangu sija follow account yoyote yenye mambo ya ngono au porn account ila sasa naona watu wana post sana video...
  3. MK254

    Mwanamke muigizaji wa filamu za ngono (porn) atalii Iran, akaribishwa kwa mbwembwe

    Tafuteni hela, hizi sheria kali za kidini huwa dhidi ya maskini tu...
  4. Etugrul Bey

    Azimia kuacha kuangalia video/picha za ngono 2023

    Watu Wana malengo mengi Sana kila mwaka mpya ukianza na mengine ni Makubwa mno hata hayatekelezeki hata katika ndoto kwasababu hakuna ajuaye kesho yake, ingawa hii haitufanyi tusiache kuweka malengo. Ndugu zangu ili tufanikiwe basi tunahitaji Sana msaada wa Mwenyezi Mungu, kwani si akili zetu...
  5. DissDotCom

    Tumeshazoea Maisha Bila Video za Porn Tanzania

    Kiuweli ni kama siamini hivi ila ndio ishazoeleka tena kwa sasa, kila siku najaribu kubrowse kwenye sites za ngono kuona labda mzigo umeachiwa lakini wapiiiii? Ombi letu kama mlivyofanikiwa kufungia site za ngono tunaomba mdhibiti na wale wa makampuni ya simu wanaotutumia sms bila mpangilio...
  6. B

    Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

    Nasikia website za ngono zimefungiwa Tanzania, kama ni kweli basi na support Kwa asilimia 100 uamuzi huu wa serikali maana siku hizi watoto wanajua kuchezea simu sana. Licha ya hiyo, itasaidia vijana wengi kupunguza addiction ya picha hizi maana wameathirika wengi kisaikolojia. Nashauri...
  7. J

    Fahamu haya kabla ya kutuma picha yako ya faragha mtandaoni

    Umeshawahi kukutana na picha za ngono mtandaoni? Bila shaka jibu ni ndiyo. Ipo mitandao (porn sites) iliyojikita mahususi kwa ajili ya kutengeneza na kuonesha picha ama video za ngono. Mara nyingi, picha au video zinazopatikana katika mitandao hiyo huwekwa kwa makubaliano baina ya mitandao hiyo...
  8. Forgotten

    Mia Khalifa afunguka juu ya mapambano katika tasnia ya ponografia: Familia yangu ilinikataa walipogundua

    Mwigizaji wa zamani wa filamu za watu wazima Mia Khalifa akizungumza na BBC HARDtalk, alisema kuwa familia yake haikuwa na wazo juu ya ushiriki wake katika tasnia ya ponografia hapo awali. Muigizaji huyo wa zamani wa filamu za watu wazima Mia Khalifa amekuwa akizungumza juu ya tasnia ya...
Back
Top Bottom