Habari wanaJF,
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada.
Ninatafuta wanafunzi ishirini ambao nitawafanyia training na mentorship katika eneo la web design and development. Unaweza uwe ni mwanafunzi wa chuo, mfanyakazi, au hobbyst ambaye ana interest ya web design. Kwa kutumia...