Swali kwa Peter Msigwa: Kama ungekuwa Mkuu wa Mkoa au Wilaya ungerudi CHADEMA?

Swali kwa Peter Msigwa: Kama ungekuwa Mkuu wa Mkoa au Wilaya ungerudi CHADEMA?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
You were one of my favorite politician by whatever yard stick measure.

Je ungelikuwa umepewa nafasi za ULAJI CCM, je ungelitoka CCM kwa sababu ya kukelwa na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu za CCM?

NAOMBA jibu

1779604969188.png

Mchungaji Peter Msigwa​

Soma pia
 

Attachments

  • 20260524_113337.jpg
    20260524_113337.jpg
    75.6 KB · Views: 19
You were one of my favorite politician by whatever yard stick measure.
Je ungelikuwa umepewa nafasi za ULAJI CCM, je ungelitoka CCM kwa sababu ya kukelwa na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu za CCM?

NAOMBA jibu
Huyu jamaa kwa sasa, amekuwa ni mmoja wa watu wa hovyo sana kwenye siasa za Tanzania, enzi za Mwamba, JPM, jamaa alikuwa very strong politician, nilimuoja ni mmoja wa mashujaa, Chadema walipohukumiwa faini, JPM akatoa pesa akamtuma Msigwa, wakamlipia faini, Msigwa na Mashinji tuu, Mashinji aliishamfuata Ngosha mwenzake, wakitegemea na Msigwa akitoka ange cross, jamaa akatoka, akashukuru kulipiwa faini, kisha akakomaa kusalia Chadema, huu ni ushujaa, fedha za Msigwa zikamlipia Heche!.

Baadaye sijui kikamkuta nini, mara ghafla huyu Shujaa Msigwa, akalainika na kutepeta, akahama Chadema na kujiunga CCM!, akaanza kuwatukana Chadema!, tukampa angalizo Angalizo kwa Wanasiasa hamahama; Japo ni haki yenu lakini msisahau fadhila. Kuweni watu wa shukrani, mtabarikiwa sana, vinginevyo karma Itawahusu! humo nilisema
Wanabodi,

3. The Survivals wenye Njaa Wanaotaka Kushibishwa!.
Hawa ni wanasiasa wanaoingia kwenye siasa ili tuu kusaka fursa, kwao siasa ndio ajira yao, tatizo lao ni njaa, hivyo wako tayari kufanya lolote ali mradi mkono uende kinywani. Hawa wanaitumikia siasa kwa kutumia the law of the jungle ambapo ni "struggle for existence, survival is for the fittest". Hivyo wanasiasa wa aina hii, lengo lao ni survival tuu, ili kusavive, moja ya sifa zao kuu ni kujikomba komba sana, na siku wakihama, hutukana sana kule walikotoka. Hawa ni kama mwanamke mala.. anayejiuza, hawezi kumkataa mteja yoyote alimradi amefika bei!.

Wengi wa hawa wabunge na madiwani wanaojitoa Chadema na kuhamia CCM, ni kundi la hawa wanasiasa njaa, wanaofanya biashara ya umala...wa kisiasa. kinachowakimbiza Chadema sio siasa bali ni njaa tuu za uoga wa 2020, hivyo ni kama wanawake mala.. wanaojiuza miili, kuna baadhi wametongozwa au kujitongozesha kwa tamaa tuu ya dau dogo la kushawishiwa ikiwemo kuhongwa ahadi za wao kusimamishwa tena kuwa wagombea wa CCM katika uchaguzi wa marudio, au chaguzi zijazo. Wanasiasa wa aina hii mimi niliwaita ni wanasiasa mala.. wa kisiasa, ni wanasiasa wa hovyo, sababu zilizowafanya wahame, sio kingine ni umala.. tuu wa kisiasa!.

Paskali.
Kitendo cha Mch. Msigwa kurejea Chadema, huu ni uthibitisho, huyu ni mwanasiasa kama anavyoelezewa na Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere

View: https://youtu.be/E79zLqNM7yg?si=CGNyiDr9FyEyROn3
Huyu ndio Mchungaji Msigwa, alikwenda CCM akitegemea, uteuzi, kakosa uteuzi, karudi kwa bwana wake wa zamani!.
Poor him!.
P
 
Labda Dhamira yake, mauaji ya oktoba 29 yalikuwa ya kutisha, mfano wewe umuone ndugu yako mama, dada, kaka, mjomba wako akipigwa risasi mbele yako na mwajiri wako utavumilia.
 
Labda Dhamira yake, mauaji ya oktoba 29 yalikuwa ya kutisha, mfano wewe umuone ndugu yako mama, dada, kaka, mjomba wako akipigwa risasi mbele yako na mwajiri wako utavumilia.
Siwezi! You are very correct!
 
You were one of my favorite politician by whatever yard stick measure.
Je ungelikuwa umepewa nafasi za ULAJI CCM, je ungelitoka CCM kwa sababu ya kukelwa na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu za CCM?

NAOMBA jibu

Soma pia
Swali muhimu sana, kimsingi amekosa ulaji ameamua kuonesha hasira zake kwao kwa kurejea kambi aliyoinyea.
 
Huyu jamaa ni mmoja wa watu wa hovyo sana
Ina maana ameamua kurudia ujinga. Ni muhimu kuwa na akiba ya maneno au wazala wanasema usinene ukamala. Lowassa alikuwa smart sana alipotoka CCM hakuisema vibaya na aliporudi hakuisema vibaya Chadema alisemamaneno mawili tu 'nimerudi nyumbani'. Ona aibu hii sasa
 

Attachments

  • VID-20260524-WA0000.mp4
    1.4 MB
Binafsi kama amerejea apokelewe
Labda asipate nafasi za juu katika uongozi wa chama
 
You were one of my favorite politician by whatever yard stick measure.
Je ungelikuwa umepewa nafasi za ULAJI CCM, je ungelitoka CCM kwa sababu ya kukelwa na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu za CCM?

NAOMBA jibu

View attachment 3593955
Mchungaji Peter Msigwa​

Soma pia
Kiinglish kikikukataa kikatae

You were one of my favourite politicians, however measured. Ndicho sahihi
 
Ina maana ameamua kurudia ujinga. Ni muhimu kuwa na akiba ya maneno au wazala wanasema usinene ukamala. Lowassa alikuwa smart sana alipotoka CCM hakuisema vibaya na aliporudi hakuisema vibaya Chadema. Ona aibu hii sasa
Hawa ni aina ya watu ambao hawana shughuli nyingine za kuwaingizia kipato zaidi ya siasa. Huwezi kumweka katika kundi la watu wenye fikra za kumkomboa mwananchi wa kawaida dhidi ya Serikali nyonyaji na vandalizing. Huyu ni mchumia tumbo. Aliahidi kuzunguka nchi nzima kuisema Vibaya CHADEMA na ati leo anarejea na kuitwa KAMANDA.
 
You were one of my favorite politician by whatever yard stick measure.
Je ungelikuwa umepewa nafasi za ULAJI CCM, je ungelitoka CCM kwa sababu ya kukelwa na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu za CCM?

NAOMBA jibu

View attachment 3593955
Mchungaji Peter Msigwa​

Soma pia
Kwenye vyama kuna wapiga kelele kama wewe ambao hawana maamuzi yoyote ndani ya vyama vyao, halafu kuna wanachama hawana kelele ila ndio wenye maamuzi ndani ya vyama
 
Kama ana moyo wa dhati ingewezekana tu kuachia madaraka na kujiunga upande wa haki
 
Back
Top Bottom