Safari ya Ureno kuelekea ndoto ya kutwaa taji lao la kwanza kabisa la Kombe la Dunia inaanza kwa kibarua kigumu dhidi ya Croatia katika mchezo wa hatua ya 32 bora utakaochezwa kwenye Uwanja wa BMO Field mjini Toronto.
Croatia inaingia kwenye mchezo huo ikiwa na rekodi ya kuvutia, baada ya...