Full Time: Portugal 2-1 Croatia | World Cup 2026 | BMO Field | 3 Julai, 2026 | 8:00 Usiku

Full Time: Portugal 2-1 Croatia | World Cup 2026 | BMO Field | 3 Julai, 2026 | 8:00 Usiku

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Safari ya Ureno kuelekea ndoto ya kutwaa taji lao la kwanza kabisa la Kombe la Dunia inaanza kwa kibarua kigumu dhidi ya Croatia katika mchezo wa hatua ya 32 bora utakaochezwa kwenye Uwanja wa BMO Field mjini Toronto.

Croatia inaingia kwenye mchezo huo ikiwa na rekodi ya kuvutia, baada ya kufanikiwa kufika hatua ya nusu fainali katika matoleo mawili yaliyopita ya Kombe la Dunia, jambo linaloifanya kuwa mpinzani hatari kwa Ureno.

Rekodi ya Kukutana​

Ureno haijawahi kupoteza mchezo wa mashindano dhidi ya Croatia, ikiwa imeshinda mechi tano na kutoka sare moja. Kwa ujumla, katika mikutano yao 10, Ureno imeshinda mara saba, sare mbili, huku Croatia ikipata ushindi mmoja pekee.
 
Croatia Wana roho ya paka Sijawahi kuona, hawa Jamaa wanatoa game ngumu Sana...They gave everything dadeki, Hizi ndio timu hata mkitolewa huwezi kutukana Sana lakini siyo wale wamatumbi wenzetu kmmke...Hizi ni mechi zilizotakiwa zichezwe kuanzia robo fainali huko, sema Portugal Wana kazi Sana maana watakuwa Kila muda wanabana makende Kwa uchezaji wao ule watalaumiana Tu na Spain mechi ijayo...
 
Angalau alivyotoka Mbuzi timu ikaanza kua na makali kule mbele.
 
Back
Top Bottom