posta

Czech Post (Czech: Česká pošta) is the state owned postal company of the Czech Republic. With its headquarters in Prague, the corporation has around 31,000 employees. Czech Post primarily serves the Czech Republic but also delivers to other countries.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    Shirika la Posta ladaiwa TSh. Bilioni 54.7, lashindwa kujiendeleza na kukopesheka

    Mbunge wa Jimbo la Mbagala, Abdallah Chaurembo amesema Shirika la Posta kwasasa linadaiwa TSh. Bilioni 54.7 hivyo kushindwa kujiendeleza na pia shirika limeshindwa kukopesheka, tuimbe sana serikali kama ripoti yetu ilivyoeleza tunaomba serikali ilichukue deni hili ili shirika hili la posta sasa...
  2. Mayala B

    Usije Dar Es Salaam niagize hasa hasa soko Posta na Kariakoo, kwa uaminifu mkubwa sana

    Natanguliza shukran zangu kwenu Kama una kitu unataka kununua kutoka dar na kukisafitisha bas niagize usiogope , tutafanya kazi hiyo kwa uaminifu mkubwa sana Kikubwa tu tupendane Nashughulikia kila aina ya jambo na kila aina ya bidhaa, hasa hasa soko la posta na kariakoo Pia na kwa wale...
  3. Poppy Hatonn

    Jana nimekwenda Posta Kuu jijini London kupeleka sanamu ya Kanisani, nimefukuzwa kwa ajili ya tabia yangu mbaya

    Nimeambiwa unafokafoka hapa, unadhani we nani, ondoka hapa. Nimekwenda pale jana ikapimwa uziti Ile sanamu nikaambiwa nilipe Sh.100,000( laki moja). Sina laki moja, nikaanza kuondoka. Nikaambiwa nenda counter ya mbele, itakuwa cheaper but it will take two weeks to arrive in London. Ikapimwa...
  4. GANJIBHAAI

    Askari wa pale Posta mjini achoka kusimama baada ya miaka mingi, aamua kukaa 2025

    Chanzo Global Tv Online 🤣🤣🤣🤣
  5. ukwaju_wa_ kitambo

    Posta posta city centre

    SONEL - POSTA. Chorus.. Posta posta city centre Posta posta city centre Posta posta Dar hii bwana kila mtu ukimuuliza anakwenda posta / Say.. Verse.1.. hi ndio posta Dar town city centre / vijana kwa wazee bila kazi wanapeta/ posta barabara kabeti mighorofo ilivyo jiseti/ utadhani ulaya...
  6. N

    Utaratibu wa kodi baada ya kupokea mzigo Posta ukoje?

    Wakuu, wiki kadhaa zilizopita nilinunua kifaa kutoka nje ya nchi, nimetumiwa mzigo wangu kwa njia ya POSTA. jana nimetumiwa sms kuwa kifaa changu kimefika, nimenunua kifaa kwa bei ya shilingi, aaah dola 100. Sasa kabla sijaenda kuchukua kifaa changu nimefanya mawasiliano na mtoa huduma wa POSTA...
  7. Hyrax

    Naomba kujua Machimbo ya sehemu za kuchill pale posta, Vyakula na Vinywaji ni vya bei nafuu

    Nina jambo langu hapo Posta mpya naomba mtu mwenye kuyajua machimbo anipe area code. Asanteni
  8. Beira Boy

    Katika Hali isiyo ya kawaida FFU waanza shamra shamra huku mjini posta wanazunguka zunguka kabla ya tarehe 23 yenyewe

    Aman iwe nanyi wana wa MUNGU Katika Hali isiyo ya kawaida kabisa huku mjini posta FFU wanatembea kama kumbi kumbi na magari yao Kilichonishangaza zaidi ni silaha walizobeba, silaha hizi nazionaga kabeba myahudi kwa ajili ya kuwaulia magaid wa hamasi nimeshangaa sana FFU wakiwa wanalinda...
  9. and 300

    Job description ya Posta Masta inafananaje?

    Hiki cheo kimevuma hivi karibuni. Mwenye kujua huwa anajishughulisha na nini huyu POSTAMASTA MKUU atujuze.
  10. Azniv Protingas

    Shirika la Posta linatumia kigezo gani kutoza pesa?

    Nilipokea SMS kuwa nifike posta nikachukue mzigo wangu na pia kuna malipo ya 3000/-. Mzigo wenyewe hata gram 10 haufiki na hiyo 3000 inakaribia nusu ya gharama ya kununulia bidhaa, pamoja na usafiri mpaka kufika Tanzania. Mimi nilitegemea mzigo wangu utakuja kwa speedaf kwa sababu nilichagua...
  11. ChoiceVariable

    Utenguzi: Maharage Chande wa Posta, Ulanga wa TTCL na Justina Mashiba wa UCSAF watumbuliwa

    Safi sana fagio linaendelea kupita👇👇 --- Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, viongozi waliotenguliwa ni kama ifuatavyo:- i. B.i...
  12. Crocodiletooth

    Shirika la Posta, linaweza kuja kuwa shirika tajiri endapo litajigeuza na kuwa kama Alibaba

    Umefika wakati sasa, shughuli zote za uagizaji wa vifurushi na mizigo zikafanywa na shirika letu la Posta, pekee, pamoja na makampuni ambayo yatakuwa yamesajiliwa rasmi nchini Tanzania katika kusaidiana na shirika hilo kwa vibali maalumu, - Umuhimu wa suala hili ni kwamba serekali yetu tukufu...
  13. Satoh Hirosh

    Msaada wa Sanduku la Posta la RITA wilaya ya Simanjiro

    Wakuu. Kama kichwa cha habari kinavyosema. Naomba Msaada wa Sanduku La Posta la RITA wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara. Mwenye ufahamu naomba anisaidie. Natanguliza shukran.
  14. J

    Posta Tanzania kushirikiana na Posta za Afrika

    Arusha 🗓️ 12 Juni, 2024 Shirika la Posta Tanzania limejidhatiti kushirikiana na Posta nyingine Barani Afrika hususani katika huduma za Biashara Mtandao “E-Commerce” pamoja na huduma za Usafirishaji. Hayo yamebainishwa na Postamasta Mkuu Maharage Chande wakati akizungumza na Postamasta wakuu wa...
  15. Gemini AI

    Tetesi: Sanamu ya Mnara wa Askari (Askari Monument) yaondolewa kupisha ujenzi wa Barabara

    Kuna taarifa nimeona mtandaoni kuwa Sanamu maarufu katika jiji la Dar es Salaam, Askari Monument imeondolewa katika eneo lake kwa lengo kupisha ujenzi wa Barabara za Mwendokasi. Kama ni kweli, natumai itarudishwa na si kuondolewa moja kwa moja maana ni alama muhimu za jiji. UPDATE: TANROADS...
  16. Arnold Kalikawe

    Sifa na Jinsi ya kujiunga na Duka la Posta Mtandao

    Katika ulimwengu wa leo tumeshuhudia Teknolojia ikipamba moto, sambamba na hilo wafanyabiashara na watumiaji wa bidhaa za biashara wamekuwa wakitafuta namna bora ya kuuza na kuagiza bidhaa kwa njia ya mtandao. Kama tunavyoijua mitandao maarufu ya kuagiza bidhaa kama Alibaba, Amazon, Ebay na...
  17. WilsonKaisary

    Historia ya Sanamu ya Askari (Askari Monument) iliyopo Posta, Dar es Salaam

    Sanamu ya Askari au Askari Monument ni sanamu iliyopo kwenye kitovu cha jiji la Dar es salaam kwenye mahali ambapo mitaa ya Samora na Azikiwe (zamani: Maktaba) zinakutana. Sanamu inamwonesha Askari Mwafrika katika sare ya Kijeshi, Jeshi la King's African Rifles la wakati wa Vita Kuu ya Kwanza ya...
  18. tamsana

    SoC04 Uboreshaji wa Huduma za Posta ili Kuwezesha Biashara Mtandao (Electronic Commerce) Kuendana na Maendeleo ya Sayansi na Teknolojia

    A: Utangulizi: Tanzania imefanikiwa kupata fursa ya kuwa mwenyeji wa Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (Pan African Postal Union - PAPU) jijini Arusha, ambapo hatua hii inategemewa kuchagiza maendeleo ya huduma za posta nchini na barani Afrika kwa ujumla. Katika maendeleo ya sayansi na...
  19. B

    Dar, Posta mvua yaleta foleni

    Wana bodi, huku maeneo ya Posta mvua imenyesha na kuleta foleni kubwa Sana, kutokana na baadhi ya njia kujaa maji. Hivyo basi imeleta adha kwa watu Wanaorudi nyumbani wakitokea kazini, Niko kwenye foleni kwa karibia saa nzima.
  20. Mr Kazembe

    Posta kuendeshwa kizamani Je awaoni ukuaji wa teknologia?

    Posta inakwama wapi?? Katika pita yangu mtandaoni mwezi wa 3 mwishoni nikadownload App ya posta ukweli huduma za posta nazihitaji na hapo awali nilikuwa nikitumia sanduku la rafiki yangu katika kudownload ile App nikaona kuna uwezekano wa kuanzisha sanduku ukiwa popote pale yaani wakimaanisha...
Back
Top Bottom