Czech Post (Czech: Česká pošta) is the state owned postal company of the Czech Republic. With its headquarters in Prague, the corporation has around 31,000 employees. Czech Post primarily serves the Czech Republic but also delivers to other countries.
Posta inakwama wapi??
Katika pita yangu mtandaoni mwezi wa 3 mwishoni nikadownload App ya posta ukweli huduma za posta nazihitaji na hapo awali nilikuwa nikitumia sanduku la rafiki yangu katika kudownload ile App nikaona kuna uwezekano wa kuanzisha sanduku ukiwa popote pale yaani wakimaanisha...
Wanajamvi,
Leo tarehe 09.04.2024 muda huu wa jioni nimetoka kituo cha mwendokasi cha Posta ya zamani kumpeleka wife, nimekuta abiria wamejazana hapo eti kwasababu hakuna umeme Kituo hakiwezi kukata tiketi.
Hii ni aibu kwa nchi, katika karne ya 21 watu wanakwama kusafiri kwasababu ya Umeme...
Nawashauri hasa wanasiasa na waislamu, tusishinde kwenye maofisi ya vyama tu katika kipindi cha mwezi mtukufu wa ramadhani. Ni muda wa kusoma Quran mwezi huu wa Ramadhani.
Tujifunze walikuwepo wengi lakini hivi sasa imekua history. Maisha baada ya kufa ndio maisha kuliko haya ya duniani.
Pia...
JUZI NILIKUWA POSTA, ASEEH! MWENDOKASI MIDA YA JIONI NI KISANGA. SERIKALI HAMWONI? NUSURA NIPATE KILEMA.
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli
Baada ya kumaliza kilichonipeleka, jua lilikuwa limeshapunga mkono wa Buriani. Kigiza cha usoni kilikuwa kimetawala usoni pa Nchi. Ni saa moja hiyo...
Kuna mazingira ambayo hayaeleweki katika shirika la Posta hapa Dar es salaam.Kutokana na maendeleo yaliyopo sasa hivi ya kiteknolojia, Kuna bidhaa ambazo tunanunua kwa njia ya mitandao kutoka sehemu mbalimbali duniani.
Baada ya kukamolisha taratibu zote za kimalipo,bidhaa inatumwa huko...
Jana nimekutana na tukio la kushangaza sana kwenye duka la rejareja la Mhindi maeneo ya Posta mpya mtaa wa Zanaki. Ni hivi nilikuwa nilitokea kwenye jengo la Haidery Plaza baada ya kushuka chini nikawa naelekea maeneo ya Chuo cha Biashara (CBE).
Nikawa napita ule mtaa wa Zanaki maeneo yale...
Bank ya NBC ni wababaishaji sana kuhusu utoaji wa mikopo. Sijui tatizo ni nini? Mtu anaomba mkopo taratibu zote zimesha kamilika mpaka makato tayari lakini hawaingizi mkopo. Kuna jamaa ameomba mkopo NBC yapata mwezi sasa umekwisha mkopo hawaingizi na anakatwa.
Amefatilia kwa Afisa Mikopo...
GTs,
Kwa wakazi kama mimi wa mitaa ya posta mpya au Upanga ni mashuhuda hizo kelele za majenerata yaani ni kama alivyotabiri Dkt Magufuli kuwa akiondoka madarakani hakuna atakayeweza kuisimamia serikali.
Viongozi waadamizi wengi ni wezi na hakika imetokea yaani hata huwezi jua jenerata lipi...
Baadhi ya maeneo ya Kariakoo, Upanga na Posta hawa watu ni wana nchi yao ndani ya nchi
Mtu anazaliwa Posta hajawahi kufika hata Magomeni
Hudumza zote wanapata huko huko
Posta mpaka kuna vyuo vikuu vya nje vyenye matawi
Starehe zao ni huko huko
Hosptali zao ni classic zipo
Maduka yao Posta mengi...
Najua Usiku huu au Kesho na haitofika Jumanne Simba SC itaachana rasmi na Kocha wake Mkuu Roberto Oliviera kupitia Tangazo ( Taarifa kwa Umma )
Timu itakuwa chini ya Makocha Wazawa Wawili ( wenye Vyeti na Sifa zinazotakiwa na CAF ) na Kozi muhimu za TFF ameshiriki huku taratibu ikimtafuta Kocha...
Tanzania imeongoza kikao cha Kamati namba 2 ya Baraza la Uendeshaji la Umoja wa Posta Duniani (UPU) kwenye vikao vya Baraza hilo vinavyoendelea Jijini Berne, Makao Makuu ya Nchi, Uswizi.
Kikao hicho kiliongozwa na Mwenyekiti mwenza wa Kamati hiyo ya Huduma za Posta na Maendeleo ya Biashara...
Enyi mnaosaka vibarua ndani ya JIJI la DAR, nendeni mkaombe vibarua hapo kwenye Jengo la Freemason Dar es salaam.
wanafanya maboresho ya Jengo zima kuanzia Ground Floor mpaka Paa.
Huwezi Jua labda Deiwaka ni laki moja kwa siku.
Katika sehemu au shirika lililoboronga EWURA ni namba moja, ikifuatiwa na TANESCO, ILA Mabadiliko yaliyofanyika hayajagusa kabisa EWURA, na sisi wananchi tunashangaa jambo hili.
Tulitegemea EWURA nao waguswe, ila wameguswa wengine, Kuna Nini hapa , mana hata sielewi kabisa, Kilichomponza...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki ufunguzi wa Jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU), Arusha, leo Septemba 2, 2023.
https://www.youtube.com/live/MSIbItMgQvo?si=ogAiZuUyEEvUzqqK
===
Rais Samia amesema huu ni mradi wa ubia uliogharamiwa na...
Heshima sana wanajamvi,
Mbunge wa Rufiji Mohamed Omary Mchengerwa amehudumu katika Wizara kadhaa za Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Katika Wizara zote alizohudumu kaacha kilio kikubwa na simanzi zisizo na kipimo kwa WATANGANYIKA wote.
Akiwa Waziri wa Utawala Bora na Utumishi alihakikisha...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Umoja wa Posta Afrika (PAPU) Dkt. Sifundo Chief Moyo Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 28 Agosti, 2023.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye ameshiriki katika...
♦️ Akabidhi Vyeti na Tuzo za Pongezi kwa wafanyakazi wa Shirika la Posta walioshiriki kufanikisha Tanzania kupata nafasi ya Ujumbe kwenye Mabaraza ya Umoja wa Posta Duniani (CA &POC).
Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi wa Serikali ya Mapinduzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.