Czech Post (Czech: Česká pošta) is the state owned postal company of the Czech Republic. With its headquarters in Prague, the corporation has around 31,000 employees. Czech Post primarily serves the Czech Republic but also delivers to other countries.
Nimekwenda kutoa pesa ATM ya Posta, ikatoka risiti ambayo inaonyesha kiasi kilichotolewa lakini salio/ baki (balance) haionyeshwi.
Tangu miaka yote risiti imekuwa inatoka na kuonesha salio/baki/(au kwa kizungu balance). Leo kwa mara ya kwanza salio halikuoneshwa.
Maana yake nini?: Ni kuwa kwa...
"Utakuta watu wa route hii ya Makumbusho Posta wana ustaarabu, akikuta gari limejaa kwanza hapandi, tofauti na route za Mbagala, hata mwonekano wa kondakta na dereva wa gari la Posta uko smart, "- Sgt Amin Iddi, Traffic Dar.
"Umepanda pikipiki dereva anaenda isivyo wewe unashindwa kumwambia...
Naomba kujua kwa walio agiza bidhaa ndogo ndogo kutoka nje ya Nchi (Free shipping) Decemba 2021 hadi May 2022 mmezipata? mimi naona sijakuwa na bahati nazo; hata sijajua tatizo liko wapi kwani hapo nyuma sijaona tatizo hili
Naomba kutoa pongezi kwa Jeshi la Polisi kwa ukaguzi na usimamiaji mzuri wa barabara zetu mimi leo nipo kwa daladala toka Posta mpaka Mbezi tumesimamishwa karibu sehemu 8 na askari ni wengi safi kabisa hii nimeikubali sana.
Wanabodi salaam!
Serikali kupitia Tamisemi wametangaza ajira tar 20 mwezi huu kwa kada ya afya na elimu.Tunaishukuru serikali kwa hizi ajira kwani kimsingi hali ya ukosefu wa ajira imekuwa janga nchini.
Tatizo lililopo ni mfumo(system) kwenye uombaji hizi ajira unamatatizo yanayopelekea watu...
Nashangaa hawa hasa watangaza dini wanaochipukia, kwanini wote kutwa kujazana miji ya pembezoni mwa mji kwanini mitaa niliyoitaja hawaendi?
Sijawahi kuona tangazo wala mkusanyiko kule mtu akihuburi injili.
Habari zenu wakuu niliagiza parcel kupitia aliexpress na mzigo unaonesha umesha wasili kwenye destination country
shida inakuja nilikurupuka kuagiza mzigo kabla ya kuwa na sanduku la posta je naweza kuupata kweli mzigo au ndo imesha kula kwangu?
Naomba msaada wa ufafanuzi juu ya hili wajuzi
POSTA MUWE KINARA UTEKELEZAJI WA ANWANI ZA MAKAZI NA POSTIKODI NCHI NZIMA
◊ Anwani za Makazi ni Msingi wa Posta ya Kidijitali
Prisca Ulomi na Loema Joseph, Dodoma
Serikali imelielekeza Shirika la Posta Tanzania (TPC) kuwa kinara na kuongoza jukumu la utekelezaji wa mfumo wa anwani za makazi...
Habari za muda wakuu.
Hapa nimepata fursa nzuri kidogo ambayo natarajia kuifanya lakini sitaki kukurupuka.
iko hivi , kuna rafiki yangu yuko canada nimemwomba anitaftie computer for parts(spare) kwa bei ya chini kwasababu kule vitu ni rahisi kidogo na akishazipata azipack halafu tuangalie...
POSTA TANZANIA YAPOKEA UGENI KUTOKA POSTA KENYA
Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania Bw. Macrice Daniel Mbodo amepokea ujumbe kutoka Shirika la Posta Kenya. Ujumbe wa Posta ya Kenya umeongozwa na Postamasta Mkuu wa Shirika hilo Bw. Daniel Kagwe akiambatana na Maafisa waandamizi...
Habari zenu wakuu,nina ndugu yangu amestaafu kwa hiyari tangu miaka minne iliyopita,Huyu ndugu yangu alipokuwa kazini alikopa kiasi fulani cha pesa toka TPB lakini huu mkopo alifanikiwa kuulipa wote kipindi yupo kazini,lakini tatizo likajitokeza kipindi mafao yalipotoka kwani kile kiasi cha...
Kikao cha Baraza la Uendeshaji la Umoja wa Posta Duniani (Universal Postal Union Postal Operations Council) kimeendelea leo tarehe 24 Novemba,2021 jijini Berne,Uswis ambapo Tanzania Imeongoza kikao cha Kamati namba mbili ya Baraza hilo inayohusu Huduma za Posta na Biashara Mtandao (Physical...
Kaimu Meneja Mkuu Uendeshaji Biashara wa Shirika la Posta Tanzania Ndg. Constantine Kasese amehudhuria tukio la kuweka mashada katika makaburi ya Mashujaa waliopigana vita ya kwanza ya dunia kati ya mwaka 1914-1918 kama ishara ya kuwaenzi mashujaa hao,ijulikanayo kama #Layingwreathceremony#...
WAZIRI WA UJENZI, MAWASILIANO NA UCHUKUZI (ZANZIBAR) AFANYA MAZUNGUMZO NA UONGOZI WA POSTA ZANZIBAR
Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Rahma Kassim Ali(Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Meneja Mkaazi wa Shirika la Posta Tanzania (Zanzibar)...
Wana JF,
Kama kuna kitu kinakera ni kuangushiana jumba bovu. Katika upanuzi za barabara za mwendokasi na madaraka, tumeshuhudia wafanyabiashara wengi wakipisha ujenzi bila shuruti kwa kuwa wanajua ni suala la muda tu wataondoka.
Watu hawa unatafuta sehemu ya kuamishia biashara zao bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.