Naitwa Google Diggers. Nina miaka 31
Nina degree ya Sanaa yaani bachelor of arts na nina stashahada ya masuala hayahaya ya Sanaa. Kifupi ni Political sciences.
Nataka kufanya post graduate ya IT
Je inaweza ikakubalika?? IT imejaa science na mimi science niliifanya o level pekee
Msaada wa Mawazo
Mimi ni muhitimu wa shahada ya LOCAL GOVERNMENT ADMINISTRATION AND MANAGEMENT kutoka chuo cha serikali za mitaaa mwaka 2023
Nimekuwa nikiahangaika kuomba ajira hata sekta binafsi katika ngazi ya HR na Administration ila imekua ngumu lakini kwa ngazi ya serikali pia imekua ishu mpka leo nili...
Habari wanaJF.
Kama kichwa kinavyosema, huwa naona ukitaka kwenda masters au postgraduate diploma ni lazima uwe na degree? Ukiangalia qualification za kujiunga zinafanana, ukiangalia namna ya usomaji chuoni kunafanana, ukiangalia kwenye prospectus vyuoni ni vitu ambavyo ni vinafanana kila...
Jaman hebu mwakahuu kwenye hizi muwakumbuke waliosoma stashahada ya uzamili. Wengine wamemalza Tangu mwaka 2014. UDSM kwanini mnawaacha?
Hakuna mtu anatafuta special seat ya mshahara ila walisoma ili wapate nafasi ya kupractice passion zao za kufundisha. Baada ya kuchaguliwa Kozi nyingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.