ppaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) yatoa rai wazabuni kutumia moduli kuwasilisha rufaa

    Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imetoa rai kwa wazabuni kutumia Moduli ya kupokea na kushughulikia malalamiko katika mfumo wa NeST ili kuokoa muda na gharama zisizo na ulazima. Rai hiyo imetolewa na Katibu Mtendaji wa PPAA, Bw. James Sando alipoongea na waandishi wa Habari katika...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PPAA yaendelea kuwajengea uwezo Wazabuni Nyanda za Juu Kusini kuhusu matumizi ya Moduli

    Katika jitihada za kukabili changamoto za ununuzi wa Umma, Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imeendelea na zoezi la kuwajengea uwezo wazabuni juu ya matumizi ya Moduli ya kuwasilisha na kushughulikia malalamiko na rufaa kwa njia ya kielektroniki katika mfumo (NeST). Katibu Mtendaji wa...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha, Mwigulu aipongeza PPAA kuanzisha Moduli ya kupokea rufaa kieletroniki

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb.) ameipongeza Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) kwa kuanzisha moduli ya kuwasilisha rufaa/malalamiko kwa njia ya kieletroniki. Dkt. Mwigulu ametoa pongezi hizo alipotembelea banda la PPAA katika viwanja vya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PPAA yatoa elimu kuhusu majukumu, malengo na mafanikio yake kwa Umma kwa Wadau zaidi ya 1,000

    Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imeshiriki katika Kongamano la 16 la Ununuzi wa Umma la Afrika Mashariki Jijini Arusha. Kongamano hilo lilianza tarehe 9 – 12 Septemba 2024. PPAA imeshiriki pia kufanya maonesho ya kutoa elimu kuhusu majukumu, malengo na mafanikio yake kwa umma na...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PPAA yaelezea maboresho ya Rufaa zinazotokana na michakato ya Ununuzi wa Umma kutoka siku 45 hadi siku 40

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere ameipongeza Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) kwa kazi nzuri wanayoifanya ya kutoa elimu kwa umma kuhusu majukumu yake. Kichere ametoa pongezi hizo wakati alipotembelea banda la PPAA katika Maonesho ya 48 ya Biashara...
Back
Top Bottom