Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb.) ameipongeza Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) kwa kuanzisha moduli ya kuwasilisha rufaa/malalamiko kwa njia ya kieletroniki.
Dkt. Mwigulu ametoa pongezi hizo alipotembelea banda la PPAA katika viwanja vya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha...