precision air

Precision Air Services Plc (operating as Precision Air; DSE😛AL) is a Tanzanian airline based at Julius Nyerere International Airport in [[Dar es Salaam]. The airline operates scheduled passenger services to Nairobi, Entebbe, and airports in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Namba msaada wa namna ya kufanya booking ya ndege: Air Tanzania au Precision Air

    Naombeni msaada wa namna ya kufanya Booking ya ndege : Precision Air au ATCL, Sababu baada ya kuchagua tarehe ya safari wakati wa kufanya Booking sioni sehemu ya kubonyeza ili niende katika hatua inayofuata.
  2. mdukuzi

    Afande Majaliwa wa Precision Air ateguka bega akiokoa waliofukiwa kifusi Kariakoo

    Unamkumbuka yule aliyekuwa mvuvi kijana Majaliwa aliyeokoa wahanga wa ajali ya ndege ya precision. Baada ya lile tukio alipelekwa kwenye mafunzo ya kijeshi kikosi cha uokoaji. Sasa hii ajali ya uokozi kila aliyeonekana anaweza kusaidia aliitwa akiwemo afande Majaliwa,katika jitihada za uokozi...
  3. Man Middo tz

    STORY: Kijana Shujaa (Precision Air)

    SIMULIZI: KIJANA SHUJAA….. “Ilikua ndoto yangu kuja kufanya jambo kwaajili ya Taifa” SEHEMUYA KWANZA (01) Man Middo Kabla hajatimiza ndoto yake kijana shujaa alikua kapuku tu muuza dagaa katika mwalo wa Nyamkazi, Bukoba pembezoni mwa ziwa victoria. Kwa muonekano wake hata wewe unaesoma...
  4. M

    KERO Precision Air mnatukosea sana Abiria, tangu Saa 12 Asubuhi Dar-Arusha tumeshindwa kuondoka kwa wakati na hamtoi maelezo

    Precision Air wawajibike kwa kuwachelewesha abiria 'airport' bila maelezo yanayoeleweka, "tumekaa zaidi ya masaa matatu" Abiria ambao tulikuwa na tiketi za kusafiri na ndege ya Precision Air kutoka Dar es Salaam - Arusha, Oktoba 14, 2024, Saa 12 Asubuhi tumeshindwa kuondoka kwa wakati na...
  5. NostradamusEstrademe

    Mashirika ya ndege nchini rekebisheni hili

    Jumatatu iliyopita ilikuwa nitoke Mwanza kwenda dar kwa ndege ya shirika flani X saa sita mchana tukaambiwa kuna shida tukapelekwa hotelini tukaambiwa inaweza ondoka jioni. Jioni haikuwa hivyo tukaambiwa labda saa nne usiku, haikuwa hivyo tukalala hadi asubuhi. Asubuhi tukaambiwa labda saa sita...
  6. Jamii Opportunities

    Navigation and Performance Officer/Librarian at Precision Air May, 2024

    Qualification Required: Qualifications Education A’ Level Education with pass in mathematics Flight dispatch Operations certificate. Professional Qualification Computer literate Flight Operations/Dispatch Licence holder Experience Minimum 3 years’ experience in Flight Operations Computer...
  7. Ojuolegbha

    Balozi yakubu azungumza na Mkurugenzi mtendaji wa shirika la ndege la Precision

    Balozi wa Tanzania Nchini Comoro Mhe. Saidi Yakubu, amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege la Precision Bw. Patrick Mwanri ambapo wamezungumzia namna bora ya kuongeza wigo wa usafiri wa anga baina ya Tanzania na Visiwa vya Comoro. Katika mazungumzo hayo...
  8. BARD AI

    Canada Yaishtaki Precision Air Mahakama Kuu ya Uingereza Juu ya Madeni ambayo hayajalipwa

    Kampuni ya Export Development Canada (EDC) imefungua kesi Mahakama Kuu ya Uingereza, ikilishtaki Shirika la Ndege la Precision kudai Dola26 milioni za Marekani (Sh65 bilioni) zilizotokana na makubaliano kwenye mauziano na ukopeshaji wa ndege. Kwa mujibu wa vyanzo vya taarifa hiyo, mwishoni mwa...
  9. Execute

    Precision Air, ndege yenu namba PW 417 inatoa mlio wakati wa kushusha matairi

    Jana (2 Nov) nimesafiri kutoka Mwanza na ndege hiyo kuja Dar kupitia KIA. Pale mwanza tulichelewa kwa zaidi ya saa zima, badala ya 12:55pm tuliondoka around 14:10pm. Nilikaa maeneo ya karibu na injini ilipo na niliusikia ule mlio wa paaah wakati tunatua KIA na vilevile wakati tunatua Nyerere...
  10. Theodora

    Precision Air is the Worst Airline and aviation company

    Anayetoa vibali ili ndege ziwe registered na kuruka achunguze Precision Air. Precision gharama zao ziko juu, wahudumu hawana msaada na ndege zao hata siku moja haziheshimu muda. Wapewe ultimatum. Hawafai na hawana professionalism.
  11. dubu

    Kilimanjaro: Precision air PW417 imepaa na kurudi Uwanjani baada ya kutokea tatizo la Injini

    Leo mida ya saa nane na dakika hamsini, ndege ya Precision air yalazimika kurudi before take off Baada ya kugunduaaa hitilafu kwenye ndege! Shukurani kwa Rubani alogundua tatizo mapema. Sasa inasubiriwa marekebisho yaishe ili ipae tena. Ndege ilikuwa inatokea Mwanza kwenda Dar es Salaam...
  12. Lady Whistledown

    TANZIA Michael Ngaleku Shirima mmiliki wa Precision Air afariki dunia

    Mmiliki wa Shirika la Ndege Nchini Tanzania la Precision Air, Michael Ngaleku Shirima, ameaga dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya AgaKhan, Jijini Dar es Salaam =========== Mfahamu zaidi Michael Ngaleku Shirima Michael Ngaleku Shirima CEO wa Shirika la Ndege za Precision Air...
  13. KING MIDAS

    Taarifa kwa Umma Kuhusu Ndege ya Precision Air (PW 602) Iliyositishwa Kutua Dodoma Ikitokea Dar es Salaam Mei 1, 2023

    TAARIFA KWA UMMA KUHUSU NDEGE YA PRECISION AIR (PW 602) ILIYOSITISHWA KUTUA DODOMA IKITOKEA DAR ES SALAAM TAREHE 01/MAY/2023 Tarehe 1 Mei 2023, Ndege ya Precision Air No. PW 602 iliondoka uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) saa 18:11 (saa za ndani) kwa safari ya saa moja...
  14. GENTAMYCINE

    Mliotoa Ripoti ya Pili Ajali ya Precision Air wenye Akili tunajua Mamlaka imekwepa Uzembe wake na kutupa lawama kwa Marubani waliokufa

    Nimezipitia sababu zenu nane katka Ripoti yenu ya Pili mliyoitoa leo na kugundua kuwa, japo mmezunguka sana ila ukituliza kichwa ni kama vile 98% ya lawama mnazielekeza kwa Marubani ambayo bahati mbaya pia walifariki dunia siku ya ajali. Kama GENTAMYCINE baada ya ajali nilijitahidi kutafuta...
  15. dubu

    Abiria wa Precision Air, Walazimishwa kuacha mizigo Mwanza kwamba ndege imejaa

    Mwanza: Wasafiri ya Ndege ya Precision Air, Wakatazwa kupanda na mizigo yao kwa sababu ya ndege kujaa sana na haina uwezo kwa sababu za kiufundi Kitendo hicho kimewatia wasiwasi wasafiri wa ndege hiyo ambao imechukua masaa mawili hadi kukubali kupanda ndege hiyo ambayo walitaka maelezo ya kina...
  16. Ujinga mtupu

    Ndege ya precious Air yashindwa kutua Dodoma

    Ndege ya Precision Air PW 600, iliyokuwa ikitokea Dar es Salaam kuelekea Jijini Dodoma imeshindwa kutua kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma na kulazimika kurudi mkoani Dar es Salaam baada ya moja ya injini zake kuzima wakati ikikaribia kutua. --- Ndege ya Precision Air PW 600, iliyokuwa ikitokea...
  17. Frumence M Kyauke

    Ndege ya Shirika la Precision Air iliyokuwa ikitokea Dar es Salaam kuelekea Dodoma yalazimika kutua kwa dharura

    Shirika la Ndege la Precision Air limethibitisha kuwa ndege zake mbili zimeshindwa kufanya safari zake kama kawaida baada ya ndege moja kupata hitilafu na nyingine kulazimika kutua kwa dharura. Precision Air imethibitisha hilo kupitia Taarifa yake leo Februari 03, 2023 ikibainisha kuwa, moja ya...
  18. comte

    Zitto sawa wahudumu walifungua mlango, je waliwapa abiria wao maboya?

    Kwa wanaijua na waliowahi kusafari na ndege watakubaliana na ukweli kuwa milango ya ndege inaweza kufunguliwa na mtu akiwa ama nje ya ndege au ndani ya ndege. Wahudumu wa ndege wamefundishwa kufanya kazi hiyo wakati wa kawaida, dharura na hatari. Kumekuwa na mabishano yasiyo na tija na...
  19. figganigga

    Ndege ya Air Tanzania yashindwa kutua Bukoba, yageuza kwenda kutua Mwanza

    Ndege ya Air Tanzania imeshindwa kutua Bukoba Airport imerudi Mwanza. Stay tuned ====== UPDATES Ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) imeshindwa kutua katika uwanja wa ndege wa Bukoba mkoani Kagera kutokana na hali mbaya ya hewa. Badala yake ndege hiyo imelazimika kutua salama katika...
  20. GENTAMYCINE

    Waziri Mkuu Majaliwa, Wahudumu wa Ndege ya Precision Air wanasema Wao ndiyo Walifungua Mlango. Huyu Muokoaji ‘Majaliwa’ aliufungua upi?

    "Sisi ndiyo tulifungua Mlango wa Ndege kisha tukawaona Wavuvi na Mitumbwi yao wanakuja na kuanza Kushirikiana nao katika Kuokoa Abiria na baadae nasi pia Kuokolewa" Wahudumu wa Ndege ya Precision Air iliyotumbukia tarehe 6 Novemba Ziwa Victoria Bukoba Mkoani Kagera. "Huyu Kijana tena Wajina...
Back
Top Bottom